Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
- Thread starter
- #21
wapo locked na mtu asiyehalaliMabasi yaliyokuwa yanawabeba kutoka majumbani kuwapeleka kazini(kambini) hayaonekani siku hizi...wapo locked down.
wapo locked na mtu asiyehalaliMabasi yaliyokuwa yanawabeba kutoka majumbani kuwapeleka kazini(kambini) hayaonekani siku hizi...wapo locked down.
Ndio nawaza.!Maswali magumu majibu mwepesi Sasa lock down mpaka lakini litafika kipindi hata lock down nayo inazoeleka watu wanatoka
Kuna tofauti kubwa kati ya watu kuwa barabarani na kulazimishwa wawepo barabaraniHakuna mtu kukaa nyumbani wote barabarani uelekeo ikulu na bungeni
tamaa? hivi unajua unacho kiongea haya yote ni kwaajili tu ya samiaKuna tofauti kubwa kati ya watu kuwa barabarani na kulazimishwa wawepo barabarani
Hiyo tamaa yenu isifikie kiwango cha kusumbua familia wawepo barabarani
Eeeh ndio ni tamaa, kama huna huwezi kuwa na haraka sizizo na muafakatamaa? hivi unajua unacho kiongea haya yote ni kwaajili tu ya samia
mtu akiuwa na kuteka hana uhalali wa kuwa rais, unazijua sababu za maandamano ni nini na nini ?Eeeh ndio ni tamaa, kama huna huwezi kuwa na haraka sizizo na muafaka
Unaanzaje kudhani wewe ni suluhisho wakati ni sehemu tu ya suluhisho.?
Haya tufanye Samia katoka una mbadala usio na waa.!?
Ni kweli kabisa kabisaNdugu samia, nchimbi na ndugu mwigulu hawana uhalali wowote wa kuweka mtu lock down kuelekea #D9 sisi hatupo chini ya mtu yoyote.
Sisi hatuna serikali kwa muujibu wa katiba, serikali lazima itokane na wananchi hakuna uhalali wa serikali ya kujiteuwa.