Raia Samia: Watanzania pia wananiita Ibn Battuta

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje?

Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine pia wamempa jina la Ibn Battuta lakini bado anachapa kazi.

Ibn Battuta alikuwa ni jamaa Fulani mtembezi kutoka Afrika Kaskazini ambaye alikuwa hatulii nyumbani, alizunguka Arabia na Afrika kwa sehemu kubwa kwa kipindi chake kwa kutumia miguu.
 
Miguu!punda na ngamia hawakwepo?
 
Tuna bahati ni mama angekua mwanamume na anavyopeda kupaa bajeti ingefika trillioni 50
 
Ayah bhn
Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje?

Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine pia wamempa jina la Ibn Battuta lakini bado anachapa kazi.

Ibn Battuta alikuwa ni jamaa Fulani mtembezi kutoka Afrika Kaskazini ambaye alikuwa hatulii nyumbani, alizunguka Arabia na Afrika kwa sehemu kubwa kwa kipindi chake kwa kutumia miguu.
 
Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje?

Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine pia wamempa jina la Ibn Battuta lakini bado anachapa kazi.

Ibn Battuta alikuwa ni jamaa Fulani mtembezi kutoka Afrika Kaskazini ambaye alikuwa hatulii nyumbani, alizunguka Arabia na Afrika kwa sehemu kubwa kwa kipindi chake kwa kutumia miguu.

Tupia ka clip basi !
 
Kweli wabongo tumeshindikana tabia, ghafla wote wale tuliokuwa tunamponda Mama kwa kuzurura tumekuwa malaika wa kusifia na kumuhamasisha [emoji848][emoji16]

Bongo kwa unafki tu [emoji2960][emoji28]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Vasco da Gama akiwawekea bajeti ya safari zake zote wabongo mtaanguka mfe!!
 
Back
Top Bottom