MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwahiyo Mama ni mbwa? Acha ujinga weweeee!!Riziki ya mbwa ipo miguuni mwake
Kwani mbwa hana mama? Kwahiyo hutaki kuwa Riziki ya mbwa ipo miguuni pake! Mwachie mbwa azurure huenda akaokota fupa huko majalalani.Kwahiyo Mama ni mbwa? Acha ujinga weweeee!!
Miguu!punda na ngamia hawakwepo?Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje?
Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine pia wamempa jina la Ibn Battuta lakini bado anachapa kazi.
Ibn Battuta alikuwa ni jamaa Fulani mtembezi kutoka Afrika Kaskazini ambaye alikuwa hatulii nyumbani, alizunguka Arabia na Afrika kwa sehemu kubwa kwa kipindi chake kwa kutumia miguu.
Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje?

ππππRiziki ya mbwa ipo miguuni mwake