Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mkuu haya ☝️ maandishi yaliyokuzwa yanamaanisha nini?Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea kusikojulikana na begi la shilingi milioni 10.
Baadhi ya viongozi waliozungumza na ITV kiwandani hapo wameeleza namna tukio hilo lilivyotokea huku wakiomba vyombo vya usalama kufanya uchunguzi kufuatia mauaji hayo.
kweli umenena.Sio kila mvaa shuka ni masai, wengine wana sikia baridi
Tx haitarudi kuwa kama zamani tena baada ya mwaka janaMtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea kusikojulikana na begi la shilingi milioni 10.
Baadhi ya viongozi waliozungumza na ITV kiwandani hapo wameeleza namna tukio hilo lilivyotokea huku wakiomba vyombo vya usalama kufanya uchunguzi kufuatia mauaji hayo.
Alitaka kuandika "kutokomea"Mkuu haya ☝️ maandishi yaliyokuzwa yanamaanisha nini?
😆😆Masai wote wanavyofanana sijui wataanzia wapi.
Sasa nimeelewa mkuu, asante sana.Alitaka kuandika "kutokomea"
Kwa asiyekua nayo ni pesa nyingi mkuu. Yatosha kwa mengi si haba. Unadhani ni wangapi kwa TZ wana hyo pesa kwa pamoja? wanakupeleka ukikaa kindezi. By the way mtaani uchumi ni kama umesimama, hali ni mbaya.10M siyo pesa nyingi ya kutosha kufanya uue mtu. Na hapo mpo wengi mnaenda kugawana
Wako Kenya muda huu wanakunywa chang'aa.Masai wote wanavyofanana sijui wataanzia wapi.
Wamasai wameanza tabia za Samia za kuua watu? Hela yenyewe ndogo ndiyo mpaka imewasababisha kuua mtu?Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea kusikojulikana na begi la shilingi milioni 10.
Baadhi ya viongozi waliozungumza na ITV kiwandani hapo wameeleza namna tukio hilo lilivyotokea huku wakiomba vyombo vya usalama kufanya uchunguzi kufuatia mauaji hayo.
Piki piki za sanlg hazifiki milioni tatu, lkn boda boda wengi wanauawa mara kwa mara sababu ya milioni mbili na usheeWatu siku hizi hawana uoga kabisa 10m ni ya kutoa uhai wa mtu kweli?
Mambo ya kupenda cheap labor.. Wamasai hawana anuaniMasai wote wanavyofanana sijui wataanzia wapi.