Raia wa China auawa na Walinzi wa Kampuni yake na kuondoka na Tsh Milioni 10

Raia wa China auawa na Walinzi wa Kampuni yake na kuondoka na Tsh Milioni 10

Tushasema mara nyingi watu wanaadapt na kuona trends, kama serikali inaona vifo vya raia ni kawaida tu kwa nini raia nao wasiende na trend? Hawa wamejulikana na staff wao lakini huko gizani watu wanauwawa sana na ndugu wanapewa majibu mepesi tu ni mapenzi!
 
Wamasai ni hatari hawa

Kuna jamaa alimgonga mmasai akafariki sasa bhana wakataka kuingia kituo cha polisi kwa nguvu wakamuue yule dereva , dereva akakimbzwa kituo chengine cha polisi basi akapigiwa simu mkuu wao alokuwepo mikoani dah ety mkuu wao anasema warudishe roho ya kijana wao mana ni mdogo kwa kufa🤣🤣🤣🤣 dah ila lile sooo lilimalizika
 
Mambo ya kupenda cheap labor.. Wamasai hawana anuani
Na usishangae wamehamia nyumba ya pili kulinda mageti maana wenyewe kila penye geti kubwa ni kwao .

Unaajiri mmoja unawakuta kumi na hawana maelezo ,ukitaka maelezo na uliyemuajiri anazila hataki kazi kisa umewanyanyasa ndugu zake .

Hawa jamaa hawanaga shida na mtu ila ukweli fiche ni kuwa ukiwasumbua wanakusumbua pia .,Nimewahi kufanya nao kazi jengo la KFC FIRE .

Wlikuwa wema kwangu mpaka siku nilipomchukua demu mmoja alikuwa mlinzi wa kikampuni fulani cha ulinzi bila kujua ni demu wa masai mmojawapo ni hapo nikajua hawa wamba ni watu na nusu
 
Kwa asiyekua nayo ni pesa nyingi mkuu. Yatosha kwa mengi si haba. Unadhani ni wangapi kwa TZ wana hyo pesa kwa pamoja? wanakupeleka ukikaa kindezi. By the way mtaani uchumi ni kama umesimama, hali ni mbaya.
Ndiyo sababu nasema siyo nyingi ya kutosha kuu mtu. Mfano wapo wawili, huyu achukue 5M na huyu 5M, sasa uanze kuishi kwa kujificha kisa 5M?

Si miyeyusho hiyo?
 
Watu wanaua kwa ajili ya kuiba bodaboda used itakuwa 10m?
Ni kweli wanaua kisa bodaboda halafu hua wanauza sh ngapi? Ikizidi sana laki saba kama hawajaikatakata.

Hapo wapo wawili au watatu watagawana 350. Hela mbuzi kabisa kuanza kuishi kwa kujificha, hapo kwa Kopa watoto wengi waliondoshwa kisa wizi wa boda na bajaji.

RIP Aslay, RIP Issa, RIP Wanyay, RIP Mkuyi, wengine nimesahau
 
Hao watakamatwa na kuozea jela.
Utamkamatia wapi Mmasai wewe! Labda aamue mwenyewe kukamatwa. Utambulisho wao wenyewe tu ni shida! Maisha yao ni ya kuhama hama! Wanafanana mpaka basi! Majina yao hayaeleweki!

Watazitumia hizo hela kwenda kununulia mifugo ya kutosha, halafu wanaanzisha maisha yao maporini huko.
 
Ni kweli wanaua kisa bodaboda halafu hua wanauza sh ngapi? Ikizidi sana laki saba kama hawajaikatakata.

Hapo wapo wawili au watatu watagawana 350. Hela mbuzi kabisa kuanza kuishi kwa kujificha, hapo kwa Kopa watoto wengi waliondoshwa kisa wizi wa boda na bajaji.

RIP Aslay, RIP Issa, RIP Wanyay, RIP Mkuyi, wengine nimesahau
Desperation mbaya mkuu. Hukumbuki ile stori kijana aliua mwenzie kisa chenji ya 500 au 1000 hivi? Au juzi mabaunsa wameua mtu kisa bill ya 8,000.
 
Back
Top Bottom