Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Milioni 5 kwa Mmasai ni pesa nyingi sana. Akienda mnadani atanunua mbuzi wangapi kwa bei kati ya elfu 20-40?, atanunua ng'ombe au ndama wangapi kwa bei kati ya laki 1-3?Ndiyo sababu nasema siyo nyingi ya kutosha kuu mtu. Mfano wapo wawili, huyu achukue 5M na huyu 5M, sasa uanze kuishi kwa kujificha kisa 5M?
Si miyeyusho hiyo?
Kiufupi hapo wameshakuwa matajiri (ikitokea hawajakamatwa, au kuzitumia hizo pesa za wizi kwenye starehe). Maana kwao tajiri ni yule anayemiliki mifugo ya kutosha.