Milioni 5 kwa Mmasai ni pesa nyingi sana. Akienda mnadani atanunua mbuzi wangapi kwa bei kati ya elfu 20-40?, atanunua ng'ombe au ndama wangapi kwa bei kati ya laki 1-3?Ndiyo sababu nasema siyo nyingi ya kutosha kuu mtu. Mfano wapo wawili, huyu achukue 5M na huyu 5M, sasa uanze kuishi kwa kujificha kisa 5M?
Si miyeyusho hiyo?
Tunaelekea kuwaiga wa southA wake up call to all Chinese aliens in the country. And Arabs and Indians and all foreign plantation owners writ large.
You can not get rich by comfortably using natives of a host country to pick up trash can recyclables for your businesses. You the foreign alien should be the ones doing the dirty work.
You land at any world airport, it is a foreigner who is working the trash cans! Except in Africa.
Well the die hard, impregnable and intrepid Maasai Worrier creed is upending the humiliating and grotesque social order in Tanzania.
mzee,laiti kama kila mtu angeambiwa aseme ukweli kuwa utajiri wake umetokana na nini,watu wengi wangebaki midomo wazi. Utajiri hauji kilelemama mkuu.Utajiri wa damu?
Siku hizi mpaka wa$enge wa Kimasai wapo nini ujambazi?Masai hulka za kimafwele wamezitoa wapi tena? ujambazi si vitu vyao.
Stop being sentimental… grow up!A wake up call to all Chinese aliens in the country. And Arabs and Indians and all foreign plantation owners writ large.
You can not get rich by comfortably using natives of a host country to pick up trash can recyclables for your businesses. You the foreign alien should be the ones doing the dirty work.
You land at any world airport, it is a foreigner who is working the trash cans! Except in Africa.
Well the die hard, impregnable and intrepid Maasai Worrier creed is upending the humiliating and grotesque social order in Tanzania.
Umeandika kama zuzu.Utamkamatia wapi Mmasai wewe! Labda aamue mwenyewe kukamatwa. Utambulisho wao wenyewe tu ni shida! Maisha yao ni ya kuhama hama! Wanafanana mpaka basi! Majina yao hayaeleweki!
Watazitumia hizo hela kwenda kununulia mifugo ya kutosha, halafu wanaanzisha maisha yao maporini huko.
Very stupid Masai. Hao hawatafika popote wanadakwa kama kuku tuuHao watakamatwa na kuozea jela.
😁😁Masai hulka za kimafwele wamezitoa wapi tena? ujambazi si vitu vyao.
Ila dah nachangqmkia hilo dili la kuchoma mwili wake. Nimeanzisha kampuni yangu ya cremation.Masai wote wanavyofanana sijui wataanzia wapi.
Labda walidhani ni zaidi na nyingi sana zaidi ya hicho kiasi.10M siyo pesa nyingi ya kutosha kufanya uue mtu. Na hapo mpo wengi mnaenda kugawana
Na mshahara anaopata anatuma kijijini wamnunulie ng'ombeWapumbavu sana ,maasai ana ngo'ombe 300 halafu anakuja Dar kusuka na kulinda kwenye ma BAR.
Unapata wateja kweli Bongo? Watu wanasafirisha mwili kutoka Dar hadi Kigoma kwa mamilion kumbe wangesafirisha majivu tu kwa njia ya posta.Ila dah nachangqmkia hilo dili la kuchoma mwili wake. Nimeanzisha kampuni yangu ya cremation.
Wachina wanapenda vitu cheap, Kampuni za maana zipo nyie mnaajiri Morani hata mdhamini wake hajulikana na parmanent adress hana.Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea kusikojulikana na begi la shilingi milioni 10.
Baadhi ya viongozi waliozungumza na ITV kiwandani hapo wameeleza namna tukio hilo lilivyotokea huku wakiomba vyombo vya usalama kufanya uchunguzi kufuatia mauaji hayo.
HahahahahaaaaaUnapata wateja kweli Bongo? Watu wanasafirisha mwili kutoka Dar hadi Kigoma kwa mamilion kumbe wangesafirisha majivu tu kwa njia ya posta.