Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Bila picha au video.Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
picha au video iko wapi??Mbona tuhuma za wazungu wa Acacia kuwakodi wanawake wa kitanzania na kwenda kuwafanyisha ngono na mbwa wao hamzisemi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mifumo yetu ni ya hovyo sana. Tutaendelea kuwa watumwa daima.Mkuu fikiria hapo hao wachina wanaishi na kufanya kazi kwa visa ya utalii
Na wapo wahusika waliozitoa na utakuta hiyo ndio hotel yao wanapokula kila siku
Hapo tuone kama watawajibishwa hao waliotoa kibali cha Hotel na hizo visa za kitalii
Kweli tuna safari ndefu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hizo habari hata mimi naweza tengenezaRaia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
Bila picha au video.
picha au video iko wapi??
Vinginevyo ni story zenu za kujipooza machungu
Hizo habari hata mimi naweza tengeneza
Leta video clip kama hii ya jamaa anayabinua then mchina anatembeza mbata
hatutaki blah blah.Taarifa za mpaka waziri wenu kuingilia kati, hilo limetosha hii sio movie, ni mwendo wa kungfu
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
Kwetu sheria inazuia sikuwa najua kama na kenya pia hairuhusiwi kutiwa vitasa mtu ukijisikiaMbona Tanzania mnapigwa hata ngumi na Kungfu za Wachina, huwa hamuoni aibu
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
Asante kaka! Basi tuseme heshima yako kama mkenya uliyelazwa viboko imerudi kwa kuwa hata watanzania wanapigwa kungful.Wacha uzembe wa Kitanzania, soma makala yote, huwa mnapigwa hadi kungfu tulizozoea kuona kwenye movie
"Mmoja wa wananchi hao ambaye ni wafanyakazi kwenye kampuni hiyo, Wilson Pawa, alisema makandarasi hao wanawanyanyasa kwa kuwasingizia kuwa wanawaingizia hasara na ikitokea wakabishana huanza kuwapiga kung-fu na kutishia kuwaua kwa risasi."
Asante kaka! Basi tuseme heshima yako kama mkenya uliyelazwa viboko imerudi kwa kuwa hata watanzania wanapigwa kungful.
Last time I promised to come back to you. This time you humbly invited the chines uninterrupted, unmonitored, smiling to show the so called bussiness partners in corona sharing. Call them whatever.Nilitaka mpunguze kiherehere cha kujifanya kuwa tukio la Kenya linawauma sana na mpaka mnatutukana, ilhali kwenu ndio balaa hata zaidi. Wanafiki sana nyie watu.
Naona unaendeleza unafiki. Tz si bado mwapokea wageni toka China?Last time I promised to come back to you. This time you humbly invited the chines uninterrupted, unmonitored, smiling to show the so called bussiness partners in corona sharing. Call them whatever.
Nilikuomba unieleze kama tabia hiyo imekoma. Wachina 239 wako nchini bila screening! Bahati mbaya wananchi wa kawaida wana protest, officials na mtu kama wewe munaona ni opportunity! Shame again in East Africa.
That is a useless argument and unfounded comfort. Wachina wanaingia nchi zote duniani. Hakuna aliyesema hawaruhusiwi kusafiri. Tatizo lililotokea Kenya ni kuruhusu ndege kutoka China hadi Nairobi ikiwa na abiria 239. Wakaingia bila screening. Baadaye raia wanapiga kelele ndo serikali inaanza kufukuzana nao mitaani. Aliyepiga picha ndege ikitua na kuisambaza mitandaoni ikaamuliwa afukuzwe kazi.Naona unaendeleza unafiki. Tz si bado mwapokea wageni toka China?
Bado huu ni unafiki! Umaskini mbaya! Tz screening hamna ila mnawapokea "watalii" toka China.That is a useless argument and unfounded comfort. Wachina wanaingia nchi zote duniani. Hakuna aliyesema hawaruhusiwi kusafiri. Tatizo lililotokea Kenya ni kuruhusu ndege kutoka China hadi Nairobi ikiwa na abiria 239. Wakaingia bila screening. Baadaye raia wanapiga kelele ndo serikali inaanza kufukuzana nao mitaani. Aliyepiga picha ndege ikitua na kuisambaza mitandaoni ikaamuliwa afukuzwe kazi.
Kenya ina tatizo la mashindano na majirani ya ku entertain white skinned people, ikiamini hiyo ndiyo hospitality. That is unimaginable weakness. You need to learn cultural settings za nchi zingine.
Nimeishi Nairobi miaka 6. Ukiwa unadrive ukapata traffic offence linganisha jinsi polisi anavyoku handle wewe na mzungu au chines. Ukitembea Usiku ukakutana na polisi mukiwa na mzungu, wewe ndo utaulizwa yeye ataonekana ni kama hayupo. Kuna jambo la muda mrefu ambalo Kenya haikulifanyia marekebisho kama TZ. Tz linaweza kuwa linarudi sasa hivi. Tatizo la kuwaona waafrika kama labourers!Yanayotokea Kenya na Tanzania yanatokea sana nafahamu tuna utani wetu wa asili na wakenya na hapa afrika mashariki kenya ndio watani wetu tunagombana na tunaelewana na hua ugomvi wetu tunauamua wenyewe ndio maana mambo ya Tanzania na Kenya hua hakuna wa Kuyaingilia lakini tusichekane kiasi hiko maana tunapitia msoto mmoja kutoka kwa wawekezaji hao iwe wachina au wazungu
Sent from my iPhone using JamiiForums
What is wrong with you! Umesoma nilichoandika? Chines wanasafiri kwa screening kama kawaida. TZ hakuna ndege ya moja kwa moja kutoka china. Wote hao chines unaowaona wanaingia TZ wanapitia ports za europe na Asia. Kote wanafanyiwa screening. Dar screening ipo! Inaweza kuwa weak but, there is screening.Bado huu ni unafiki! Umaskini mbaya! Tz screening hamna ila mnawapokea "watalii" toka China.
You don't have the moral authority kunyooshea Kenya kidole ilhali mnafanya makosa sawa.
Kuhusu Ali, mahakama imeamuru arudishwe kazini mara moja!
Serikali kutodhibiti idadi ya Wachina wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona