Raia wa China wakamatwa kwa kumcharaza viboko mfanyakazi aliyefika ofisini kwa kuchelewa

Halafu waka ambiwa wakae ndani wajichunge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu waka ambiwa wakae ndani wajichunge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hawa walifanya makusudi kwa tabia yao. Eti immediately wanamfukuza aliyepiga picha. Walipoona wananchi wanapiga kelele, amerudishwa kazini lakini naamini atapata taabu.

Aibu ni kwamba wale elites ndo hawajitambui, wananchi mitaani wanajitambua na kuhofia. Bravo to common wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…