Raia wa China wakamatwa kwa kumcharaza viboko mfanyakazi aliyefika ofisini kwa kuchelewa

Raia wa China wakamatwa kwa kumcharaza viboko mfanyakazi aliyefika ofisini kwa kuchelewa

What is wrong with you! Umesoma nilichoandika? Chines wanasafiri kwa screening kama kawaida. TZ hakuna ndege ya moja kwa moja kutoka china. Wote hao chines unaowaona wanaingia TZ wanapitia ports za europe na Asia. Kote wanafanyiwa screening. Dar screening ipo! Inaweza kuwa weak but, there is screening.

Say about the 239 chines who flew directly to Kenya then walked away unchecked. Najua hata screening siyo nzuri but why not do what you can do?
Halafu waka ambiwa wakae ndani wajichunge 😂😂😂
 
Halafu waka ambiwa wakae ndani wajichunge 😂😂😂
hawa walifanya makusudi kwa tabia yao. Eti immediately wanamfukuza aliyepiga picha. Walipoona wananchi wanapiga kelele, amerudishwa kazini lakini naamini atapata taabu.

Aibu ni kwamba wale elites ndo hawajitambui, wananchi mitaani wanajitambua na kuhofia. Bravo to common wananchi!
 
Back
Top Bottom