mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kwenye maisha unatakiwa uwe mkorofi lkn pia uwe mpole,kila kimoja hapo kinatumika kwa muda wake,
Nchi kama africa kusini raia washakinukisha na wachina kazaa wapo icu kama sio mochwari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenyan wake up!
Wakenya mna Maneno mengi kuliko kazi.
Namuunga mkono mchina
Raia wa kenya wameonesha hasira zao na kudai hatua ya kisheria ichukuliwe.MK254,
Kama huwezi kusoma unajadili yote haya kwa nini? Kwani ni mara ya kwanza Wachina kuwadhalilisha? Unategemea sheria imtie hatiani mtu munayechapana viboko nyumbani? si ndiyo hayo sasa inaandikwa ni kamali,