Raia wa Ghana wadaiwa kuiba Sh 1.6 bilioni benki

Raia wa Ghana wadaiwa kuiba Sh 1.6 bilioni benki

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Raia wa Ghana, Valentine Zancheus (42) na Mtanzania, Fortunatus Bundala(36) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la wizi na kuingilia mifumo wa Benki ya BancABC na kujipatia na Sh1.6 bilioni mali ya benki hiyo.

Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Ijumaa Agosti 19, 2022 na kusomewa mashtaka yao na jopo la mawakili watatu wakiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Grace Mwanga akisaidiana na Yusuph Aboud, Caroline Materu, mbele ya Hakimu Mkazi, Richard Kabate.

Wakili Materu amedai kuwa washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 48/2022 yenye mashtaka ya kula njama ya kutenda kosa, wizi, kuingilia mifumo ya kompyuta za benki ya BancABC na kutakatisha fedha kiasi cha Sh1.6 bilioni.

Washtakiwa baada ya kusomewa mashtaka hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama hiyo kutokuwa na uwezo wa kusikiliza kesi za uhujumu uchumi isipokuwa kwa kibali maalum.

Hakimu Kabate ameahirisha kesi hiyo hadi Septemba Mosi, 2022 itakapotajwa na washtakiwa wamerudishwa rumande kutokana na shtaka la kutakatisha fedha linalowakabili halina dhamana kwa mujibu wa sheria.

MWANANCHI
 
Nilikariri benki huwa hazisemi chochote zikiibiwa fedha kimifumo ili kulinda hadhi yake na uhakika kwa wateja kuwa pesa zao zitakuwa salama kwao.. 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️

Sasa benki itawahakikishia vipi tena wateja juu ya usalama wa fedha zal dhidi ya watuhumiwa kama mtizedi mwenzetu
 
wao wanaamini wameonyesha uwezo wa kuwakamata
 
Mjinga ni wewe Mwenyewe unaeitafuta pesa kwa nguvu na huipati....wenzio wanatumia akili na duniaa a ya leo inahitaji watu smart kichwani......

Wewe ndiyo akili ya mtu anayekunwa pombe ya maziko saa nane! Kwenda kunyea mavi debe gerezani ndiyo akili? Wewe ni bwege kabisa, nenda na wewe uunganishwe na ukanigwe mku-undu huko gerezani!
 
Mjinga ni wewe Mwenyewe unaeitafuta pesa kwa nguvu na huipati....wenzio wanatumia akili na duniaa a ya leo inahitaji watu smart kichwani......

Nenda pia na wewe ukaliwe gerezani! Wenzio wapo wananigwa nyuma muda huu! Nenda kaunge juhudi huko!
 
Hicho kichwa cha habari cha uzi umefanya makusudi mkuu au?
 
Wewe ndiyo akili ya mtu anayekunwa pombe ya maziko saa nane! Kwenda kunyea mavi debe gerezani ndiyo akili? Wewe ni bwege kabisa, nenda na wewe uunganishwe na ukanigwe mku-undu huko gerezani!
Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea
 
Back
Top Bottom