Raia wa Ghana wadaiwa kuiba Sh 1.6 bilioni benki

Mjinga ni wewe Mwenyewe unaeitafuta pesa kwa nguvu na huipati....wenzio wanatumia akili na duniaa a ya leo inahitaji watu smart kichwani......
That's not true. Smart people never steal, never commit crime or fraud of any sort. Ni tamaa tu. Utakuta Sasa watu mtoto wa flani smart kisa ana gari Kali na nyumba Kali. Sasa tuone usmart wao huko gerezani.

Cc mrangi
 
Hongera kwao kumbe tuna majembe wa IT.
 
That's not true. Smart people never steal, never commit crime or fraud of any sort. Ni tamaa tu. Utakuta Sasa watu mtoto wa flani smart kisa ana gari Kali na nyumba Kali. Sasa tuone usmart wao huko gerezani.

Cc mrangi
Kwani wemeshahukumiwa au? kama aliyemuua mama yake moshi ameachiwa sembuse hao
 
Uhujumu uchumi na
Kutakatisha fedha.

Nadhani wanasheria wetu bado hawajaelewa tafauti za misamiati ya kifedha.

Wangewashtaki na kosa la wizi kutumia techn


Kuiibia benki kiasi hicho kikubwa cha fedha ni a considerable/significant economy sabotage
 
Wewe ndiyo akili ya mtu anayekunwa pombe ya maziko saa nane! Kwenda kunyea mavi debe gerezani ndiyo akili? Wewe ni bwege kabisa, nenda na wewe uunganishwe na ukanigwe mku-undu huko gerezani!
Maziko saa nane, majina hayo ya pombe naona unatupeleka Tanzania Visiwani
 
Ni ujinga kabisa. Watu kama hawa wakupiga tu risasi ikithibitika
Ila wale waliobeba hela za escrow kwenye mifuko ya sandarusi, tuendelee tu kuwalamba miguu!!

Maana mpaka leo hata majina yao tu ni siri!!
 
Jumatatu tarehe 22 Agosti 2022 naenda kufanya transfer ya hela zangu zote katika hii Benki...!

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ingeandikwa Mtanzania 1 na raia wa Ghana 1 wameiba bank kiasi hicho cha fedha ingepunguwa nn?

Kuna sababu gn ya kuficha uraia wa Tanzania kwenye head line?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekua mbongo ungesikia kabaka. Big up west Africa
 
Uhujumu uchumi na
Kutakatisha fedha.

Nadhani wanasheria wetu bado hawajaelewa tafauti za misamiati ya kifedha.

Wangewashtaki na kosa la wizi kutumia techn
Labda Lengo la kuwapiga pini hilo la kuhujumu uchumi ni kwamba wakose dhamana.

Wamenikumbusha genge la wizi wa pesa za benki kimfumo wanaitwa Carbanak cybergang hawa jamaa walikua hatari walichota sana pesa nyingi.

Ukisoma stori yao inaonyesha walikua wanajua kuiba haswa yani hawabahatishi, walikua mpaka na uwezo wa kuicommand ATM kutoa hela kwa muda flani wanaoutaka wao alafu kuna mtu wao anakua pale kukinga pesa na kusepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…