Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Kweli kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika ni kweli tupuKitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea kudanganyika kuwa mataifa ya magharibi yanawapenda sana kuliko serikali yao inavyowapenda.
Huko nyuma wananchi wa Libya walishawishiwa kumgomea rais wao Gadafi kwa maandamano na uasi wa kila leo! Leo hii Libya wanalia na hali ngumu na nchi za magharibi hazina habari nao. Wachezaji wa Iran walivyogomea wimbo wa Taifa wamepeleka ujumbe hasi kwa wananchi wenzao na sitashangaa mpaka kombe la dunia litakapoisha uasi utapamba moto sana! Mwisho wa siku kama waklifanikiwa kuiangusha serikali yao mwisho wake ni majuto.
Mwaka 2014 mataifa ya magharibi yalifanikiwa kupandikiza uasi kwa raia wa Ukraine wakaamua kuiasi serikali yao na kumwondoa madfarakani rais wao na nchi za magharibi zikapandikiza kibaraka wao. Huo ndio ulikuwa mwanzo wa machafuko nchini Iran. Chimbuko la vita inayoendelea nchini ukraine ni maasi ya mwaka 2014!! Je wananchi wa Ukraine wamefaidika na nini kama siyo vifo na maafa lukuki nchini mwao!! Mabeberu hawafai, tena hawafai kabisa.
Hawana aibu kuwachonganisha mkauana wenyewe kwa wenyewe!! Leo Libya wanakumbuka walipokuwa wanatumia maji na umeme bure!! Ukioa unapatya posho!!! Posho ya kutokuwa na ajira ilikuwa ni kubwa kuliko watoayo mabeberu nchini kwao! Leo yote hayo hayapo!! Wananchi wa Iran wameamua kulilia kisu na kuna siku watakipata!!
And those who were in the stadium prior to the start of the game also saw another notable incident, when Iran opted against singing their country’s national anthem in advance of the kick-off, in what many will see as support for the protests taking place in the country.
NonsenseKitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea kudanganyika kuwa mataifa ya magharibi yanawapenda sana kuliko serikali yao inavyowapenda.
Huko nyuma wananchi wa Libya walishawishiwa kumgomea rais wao Gadafi kwa maandamano na uasi wa kila leo! Leo hii Libya wanalia na hali ngumu na nchi za magharibi hazina habari nao. Wachezaji wa Iran walivyogomea wimbo wa Taifa wamepeleka ujumbe hasi kwa wananchi wenzao na sitashangaa mpaka kombe la dunia litakapoisha uasi utapamba moto sana! Mwisho wa siku kama waklifanikiwa kuiangusha serikali yao mwisho wake ni majuto.
Mwaka 2014 mataifa ya magharibi yalifanikiwa kupandikiza uasi kwa raia wa Ukraine wakaamua kuiasi serikali yao na kumwondoa madfarakani rais wao na nchi za magharibi zikapandikiza kibaraka wao. Huo ndio ulikuwa mwanzo wa machafuko nchini Iran. Chimbuko la vita inayoendelea nchini ukraine ni maasi ya mwaka 2014!! Je wananchi wa Ukraine wamefaidika na nini kama siyo vifo na maafa lukuki nchini mwao!! Mabeberu hawafai, tena hawafai kabisa.
Hawana aibu kuwachonganisha mkauana wenyewe kwa wenyewe!! Leo Libya wanakumbuka walipokuwa wanatumia maji na umeme bure!! Ukioa unapatya posho!!! Posho ya kutokuwa na ajira ilikuwa ni kubwa kuliko watoayo mabeberu nchini kwao! Leo yote hayo hayapo!! Wananchi wa Iran wameamua kulilia kisu na kuna siku watakipata!!
And those who were in the stadium prior to the start of the game also saw another notable incident, when Iran opted against singing their country’s national anthem in advance of the kick-off, in what many will see as support for the protests taking place in the country.
Una vituko sana.Wairan wachoshwe na serikali yao.Waamue kuing'oa wenyewe halafu Marekani aende akawatunze?Punguza au acha vibweka.Ni wapi ambako marekani iliweza kuwapatia watu maisha bora na huru baada ya kuuondoa utawala uliokuwepo? Maisha ya Libya ikiwa ni mfano!
wewe rafiki unakuwa kama huwajui waislamu? (mnisamehe) Wanagombea kufunga sala (eti mtume alifunga sala kifuani na si chini ya kitovu maana ni karibu na mavi na wanapigana mpaka kuuana) sembuse haya mambo makubwa!!!Ni wapi ambako marekani iliweza kuwapatia watu maisha bora na huru baada ya kuuondoa utawala uliokuwepo? Maisha ya Libya ikiwa ni mfano!
Hata kama ni propaganda za magharibi ila ukweli mchungu wanawake wa nchi hizo za itikadi kali za kiislamu hua wanaishi maisha makali sana kitu wanacho ruhusiwa wao kufanya ni kukaa hai peke yake wakiwa wanachungwa kama makondooKitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea kudanganyika kuwa mataifa ya magharibi yanawapenda sana kuliko serikali yao inavyowapenda.