Raia wa Iran wanakaribia kuingizwa mkenge na mabeberu wa magharibi kama walivyofanyiwa raia wa Libya

Ulichoandika ni kweli tupu
 
Tatizo sio hijab au baibui , tatizo ni mataifa kuingilia sio za kwao. Hijaab sio tatizo ni kanuni ya nchi . Kama Tanzania kuna mavazi yanayoruhusiwa ambayo inatofautiana na magharibi , kesho wanakuja kukuambia kama njoo ufanye fujo kisa wanawake hawaruhusiwa kuvaa nguo zisizo za kistaarabu au zenye heshima .

Tatizo sio vazi , tatizo ni mfumo wa Wilayat na uongozi kamilifu wa kiislamu , na shida ni kwamba maendeleo ya Iran ni simu Kwa ajili ya wamagharibi. Sababu ni kuwa magharibi wanaendesha dunia Kwa mfumo wa liberalism , na hk . Maendeleo ya Iran yanakanusha kuwa dunia inaweza kufanikiwa nje ya mfumo uliyowekwa na wamagharibi .

Ukiwaza kiduchu utaelewa kwanini wana tatizo na Iran .
 
Nonsense
 
Mmezoea kuitungia Marekani uongo kuhusu nchi nyingine za kidikteta zilizoharibika kwa vurugu za siasa duniani bahati nzuri sana hii ya Iran kila mtu anajionea mwenyewe tangu mwanzo jinsi gani utawala wa Ayatollah unavyokaribia kuitumbukiza nchi yake katika vita na vurugu.
 
Ni wapi ambako marekani iliweza kuwapatia watu maisha bora na huru baada ya kuuondoa utawala uliokuwepo? Maisha ya Libya ikiwa ni mfano!
wewe rafiki unakuwa kama huwajui waislamu? (mnisamehe) Wanagombea kufunga sala (eti mtume alifunga sala kifuani na si chini ya kitovu maana ni karibu na mavi na wanapigana mpaka kuuana) sembuse haya mambo makubwa!!!
 
Hata kama ni propaganda za magharibi ila ukweli mchungu wanawake wa nchi hizo za itikadi kali za kiislamu hua wanaishi maisha makali sana kitu wanacho ruhusiwa wao kufanya ni kukaa hai peke yake wakiwa wanachungwa kama makondoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…