Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kama wanakodishwa kutekeleza uovu basi nami niandae bajeti maana kuna sehemu nataka nipige mishe...bei ni kiasi gani Mkuu?Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemjabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Kama unabisha sawa hayo ya kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.
It is what it is, it pains but swallow it the hard way.
Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.
Ndio maisha
Wadiz
Reference ni S H Amoni ndiye alifanya hayo na huyo mbwa alidumu only five yrs na akifa watu wamejipanga kusherehea kwa week nzima,Kama wanakodishwa kutekeleza uovu basi nami niandae bajeti maana kuna sehemu nataka nipige mishe...bei ni kiasi gani Mkuu?
Swea mkola kichapo msije kulalamika humu muendelee kusoma kitabu cha uraia kitawasaidia kuponya maumivuUnaongea nini
Mbona hueleweki?
Kila Jeshi lina kaz zake
Kasome kitabu cha Uraia na maadili kitabu cha mwanafunzi darasa la 3
we nawe ni mpumbavu kweli, kwa nini wasiende kumchukua huyo muuaji kwa polisi? Wanawaogopa polisi?Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
Na Raia wa kawe wamesema nyie mna wapiga ila wao watakuwa wanawapumzisha kwa amani mmoja baada ya mwingine. Sababu mkiwa mmoja mmoja mnakuwa dhaifu kama wanawake malaya. Wakaongezea mkimaliza kuwapiga muwe umnanywea pombe huko huko kambini mkijichanganya huku nk mwendo wa sumu mkajifie kwenye hanga huko. KAZI IENDELEEKwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemjabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Kama unabisha sawa hayo ya kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.
It is what it is, it pains but swallow it the hard way.
Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.
Ndio maisha
Wadiz
Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
Police walizingua walikataa kumkabidhi muuaji kwa wale maninja a.k.a MPswe nawe ni mpumbavu kweli, kwa nini wasiende kumchukua huyo muuaji kwa polisi? Wanawaogopa polisi?