Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.

Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.

It is what it is, it pains but swallow it the hard way.

Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.

Ndio maisha

Wadiz
 
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemjabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.

Kama unabisha sawa hayo ya kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.

Kama wanakodishwa kutekeleza uovu basi nami niandae bajeti maana kuna sehemu nataka nipige mishe...bei ni kiasi gani Mkuu?
 
Masoja ni majinga, mengi shule imepita kushoto, kupiga watu hakurudish mtu aliekufa, hayanaga akili masoja yan akishindwa mmoja yanakuja kwa kikundi, a man fights by himself…ndio mana wahuni wakimkuta soja pekeake wanampapasa matako sababu wanajua ni lilaini kama papai, yakiwa mengi yanajifanya maninja pumbavu kabisa….
 
Kama wanakodishwa kutekeleza uovu basi nami niandae bajeti maana kuna sehemu nataka nipige mishe...bei ni kiasi gani Mkuu?
Reference ni S H Amoni ndiye alifanya hayo na huyo mbwa alidumu only five yrs na akifa watu wamejipanga kusherehea kwa week nzima,
 
Unaongea nini
Mbona hueleweki?
Kila Jeshi lina kaz zake
Kasome kitabu cha Uraia na maadili kitabu cha mwanafunzi darasa la 3
Swea mkola kichapo msije kulalamika humu muendelee kusoma kitabu cha uraia kitawasaidia kuponya maumivu
 
Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
 
Wachangiaji muwe makini sishabikii ila nimeweka kitu fulani aina ya reciprocal opportunity to action
 
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemjabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.

Kama unabisha sawa hayo ya kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.

It is what it is, it pains but swallow it the hard way.

Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.

Ndio maisha

Wadiz
Na Raia wa kawe wamesema nyie mna wapiga ila wao watakuwa wanawapumzisha kwa amani mmoja baada ya mwingine. Sababu mkiwa mmoja mmoja mnakuwa dhaifu kama wanawake malaya. Wakaongezea mkimaliza kuwapiga muwe umnanywea pombe huko huko kambini mkijichanganya huku nk mwendo wa sumu mkajifie kwenye hanga huko. KAZI IENDELEE
 
Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae

Sasa raia ndio wamemshikilia huyo mhalifu?
 
Back
Top Bottom