Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

You can call them pig fighters, such kind of act is done by all spies of pigs, call it a memorable shame

Ila ukiona mpaka umepigwa ujue Wamekuona unaonekana kama mhuni.
Ingawaje sio haki wewe kupigwa lakini uhuni wako umekuponza😀😀
 
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemjabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.

Kama unabisha sawa hayo ya kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.

It is what it is, it pains but swallow it the hard way.

Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.

Ndio maisha

Wadiz
We used to have village idiots, but with internet they have gone global... You are among them.
 
Wale ni maninja sio wajeshi, uthubutu wa Raia kumdhuru mwanajeshi bila onyo kali tena onyo mtambuka Raia hamuwezi kujirekebisha, sasa huo ni mfano tu, in an event of a similar scenario please just get away far away that place please kindly thank me later.
Ni kawaida ya wanajeshi kuleta ubabe, ila kiufupi hapo wanaonea tu raia.
 
Na ilitakiwa Kato afanywe hivyo haraka sana
Haki za kibinadamu na haki za kisheria zinamlinda ndio maana yupo pale polisi na akitoka pale atapelekwa mahakamani kesi itasikilizwa ataambiwa ameua bila kukusudia kifungo miaka miwili au mitano tu kwishnei
 
Popote pale Kato mtamzika mark my words
 
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemjabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.

Kama unabisha sawa hayo ya kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.

It is what it is, it pains but swallow it the hard way.

Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.

Ndio maisha

Wadiz
CCM Chanzo Cha Matatizo
 
Hatuna jeshi wote ni waimbaji wa CCM na kuiba kura ziku za uchaguzi
Fact..!

Hili jeshi limekuwa kitu kimoja na CCM.
Nchi nyingine kama mambo yakiwa magumu, wananchi hutamani jeshi liingilie kati kupooza mambo...hapa kwetu ni tofauti kabisa. Jeshi linapiga raia likiwa pembeni, je likichukua hatamu si watatumia vifaru kabisa kutuangamiza!?
Hovyo kabisa.
JWTZ imebadilika na kuwa Jeshi la Kupiga Raia Tanzania (JKRT)
 
Angekuwa magufuli na mabeyo wasingethubutu hata kuwagusa viatu raia.

Kwanza hata huyo mjeda asingeuawa sababu kulikuwa na nidhamu kubwa mno kwa watu wa mamlaka..yaani wao ndio walikuwa walezi wa raia.

Lakini kwa sasa nchi ni kama ipo ipo tu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.

Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.

It is what it is, it pains but swallow it the hard way.

Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.

Ndio maisha

Wadiz.
We akili huna sasa muuwaji akabidhiwe kwa mp wao km nani?mamlaka yao inaishia camp huko huko na kwa soldiers wenzao sio mtaani mharifu apelekwe mahakamani
 
Wewe naye sijui umekunywa ulanzi asubuhi yote hii
Wamkabidhi kwa jeshi kwa sheria ipi?
Hilo ni jukumu la polisi hao wajeda washenzi wasiokuwa na akili ilitakiwa watulie huko kambini kwao
Unaishi tanzania au ukanda wa gaza,acha uoga
 
Wale ni maninja sio wajeshi, uthubutu wa Raia kumdhuru mwanajeshi bila onyo kali tena onyo mtambuka Raia hamuwezi kujirekebisha, sasa huo ni mfano tu, in an event of a similar scenario please just get away far away that place please kindly thank me later.
Ww unaonekana ni mmoja wapo wa hao wanajeshi ambao hamjielewi halafu huo uwanajeshi wa kizamani sasa hv wanajeshi huo muda kupgana hawana wanawaza biashara na maendeleo ya family zao
 
Mwanajeshi akiwa mmoja ..unajipigia tu kama una nguvu za kupigana

Ila usijaribu wakiwa wengi

Niliwahi kupiga mjeda na gwanda zake.. na ule mkoa nilihama
Bado tunakutafuta usi-relax sana si ndio ww ulinipiga ngumi ya taya pale Njombe ukakimbia
 
Masoja ni majinga, mengi shule imepita kushoto, kupiga watu hakurudish mtu aliekufa, hayanaga akili masoja yan akishindwa mmoja yanakuja kwa kikundi, a man fights by himself…ndio mana wahuni wakimkuta soja pekeake wanampapasa matako sababu wanajua ni lilaini kama papai, yakiwa mengi yanajifanya maninja pumbavu kabisa….
na kuoga yanaziba uso kbs , yaan kumbe polisi ni majasiri kuliko jeshi
 
Back
Top Bottom