ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Kama kosa ni la polisi kikaidi kumkabidhi mtuhumiwa kwao,kwanini hao askari wasiwe wanaenda kila siku kwenye kituo husika wanapiga hao polisi,hadi wakabidhiwe mtuhumiwa husika...?
Tena wapumbavu flani husema JW mmoja,ni sawa na askari polisi 200,sasa kwanini asutumwe MP mmoja tu,akamchukue mtuhumiwa kwa nguvu..,aone kama atakutana na bisibisi au nini hapo kituoni.Ni ujinga tu,waendelee kurudi hapo Kawe,wapige wananchi tu,wataona akili za wananchi,wao si wamekariri BISIBISI,watashangazwa pale watakapofanyiwa sapraizi na kingine.