4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
ni aibu kumuabudu mwanadamu mwenzioSwea mkola kichapo msije kulalamika humu muendelee kusoma kitabu cha uraia kitawasaidia kuponya maumivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni aibu kumuabudu mwanadamu mwenzioSwea mkola kichapo msije kulalamika humu muendelee kusoma kitabu cha uraia kitawasaidia kuponya maumivu
waislam akil zenu mnazijuwa wenyew , Nakufuatilia muda sana ila unaonekana kutokuwa na uelewa juu ya vitu vingi sana , nchi haiendeshw kama familia bali kuna taratibu zake , maswala ya usalama wa ndan yapo chini ya polisi iwe mhanga ni polisi au babu yako hiyo itaangukia kwa polisiNimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
ss hiyo ina uhusiano gan na kupiga wananchiPolice walizingua walikataa kumkabidhi muuaji kwa wale maninja a.k.a MPs
kwan ukiua polisi kesi yako ndo inapaswa ipelekw jeshin?Police wenyewe ukimuua mwenzao lazima wapite na wewe
kwan upuuz si wa Muna , unapakije kijinga jinga barabaranInchi hai operate kwa namna hiyo polisi wanamkabidhije kato kwa wanajeshi?Ni kato ni mwanajeshi kwamba ataenda kuhukumiwa kijeshi. Kinachofanywa na mps ni kuisafisha hilo eneo na hakuna njia nyingine ni kama kinachofanyika gaza tu wacha wawachuje mtaakaa kwa amani badae
Mnaohusudu hao wavuta bangi ni nyie wapumbavu wenzao. Polisi wamekamata mhalifu wa mauaji na ndo wanaotambuliwa na sheria. Au mnavyodanganyana vijiweni kwamba Mwanajeshi anaweza kwenda kituoni akaamuru chochote ni sahihi? Mwanajeshi Hana mamlaka ya kukamata raia sema tu ujinga uliowajaa unawaaminisha wanajeshi wako juu ya sheria.Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.
It is what it is, it pains but swallow it the hard way.
Mwaka 2015 kwenye uchaguzi S.H Amon aliumiza raia huko Mbeya kwa kukodi wanajeshi ili kusaidia CCM ishinde ubunge Rungwe Magharibi, Kawe sio special kwa chochote kile.
Ndio maisha
Wadiz
Wewe uelewa wako ni wa chini Sana kaa kimya .Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
raia wana MAHAKAMANI zao na jeshi wana MAHAKAMA zao. OVA..Kaka kazi ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao na kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda mipaka ya Nchi. Jeshi halina mamlaka ya kuingilia kazi ya polisi. Kwani raia wana mahakamani zao na jeshi wana mahakama zao. Mtuhumiwa ni raia lazima akamatwe apelekwe polisi hatua nyingine zifuate.
Wanashindwa kumtoa mtuhumiwa Polisi wanakwenda kupiga raia wasio na silaha mitaani nawe Zuzu mwenzao unakuja kuwasifu? Kwani Kato amezikwa si yuko kituo cha Oesterbay waende wakamtoa kama hawajarudi vilema.Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
Sawani aibu kumuabudu mwanadamu mwenzio
Week mbili zimepita majira ya saa mbili usiku niligeuza gari geti la kuingilia nyumba/hostel/apartment fulani maeneo ya kijitonyama karibu kabisa na Mama Salma Kikwete grounds.Masoja ni majinga, mengi shule imepita kushoto, kupiga watu hakurudish mtu aliekufa, hayanaga akili masoja yan akishindwa mmoja yanakuja kwa kikundi, a man fights by himself…ndio mana wahuni wakimkuta soja pekeake wanampapasa matako sababu wanajua ni lilaini kama papai, yakiwa mengi yanajifanya maninja pumbavu kabisa….
Haya ndugu yangu hata hili linahitaji mtu kujua kwamba haya majitu hamna akili ? Iko hivi ukiona sehemu umepishana na mtu alafu wewe unafanya reasoning ya jambo ambalo lipo in hand alafu yeye anangangana na kupiga na kusweka ndani ni kwamba linaish kimazoea linajua kila mtu analijua maeneo yale so na wewe umjue au akikwambia hivyo wanaopita watasema wewe usibishane na mwanajeshi, yan yana assumptions za kipuus kweli kweli, kama mtu katoka mkoani utajuaje sasa? Nikisema majinga namaanisha,Week mbili zimepita majira ya saa mbili usiku niligeuza gari geti la kuingilia nyumba/hostel/apartment fulani maeneo ya kijitonyama karibu kabisa na Mama Salma Kikwete grounds.
Ghafla mbaba mmoja mwenye kitambi kikubwa mchongoko akanipiga mkwara siyo wa sayari hii, -- Kuwa nani amekwambia ugeuze gari hapa, kwanini hujageuza pale, na blah blah kibao -- Nikajaribu kumwambia mbona sioni alama ya kukataza watu kupita/kugeuza gari hapa? Akaniambia nitakucharaza fimbo na kukusweka ndani, unajidai na visheria vyako -- To cut the story; binafsi nilikuwa namtaka anieleweshe lile ni eneo la nini, na waweke alama ili sisi wageni wa maeneo tujue. Yeye alijikita kwenye kusema atanipiga sana na kunisweka ndani kwasababu nimegeuza gari pale. Siku nikiwa na moto wa ngumi nitaenda tena kugeuza pale ili nipate majibu pale wanaishi makamanda au ni eneo la nini. --- Japokuwa hakusema ila nilishawishika kuamini yule ni mwanajeshi kwa personality yake --- Maongezi yote yamejaa nitakupiga nitakupiga nitakusweka ndani.

Hapa sijaambulia kitu..Nimeonya tu kama police wataendelea hivyo wajiandae kwa maafa zaidi, mbona wao police wanaua mkosaji alieua police mwenzao mjifunze kitu fuatilia matukio ya police kupigwa au kuuliwa na raia huwa wana malizana nae
Kwa hiyo hapa walizingua,ama walikuwa sahihi?Police walizingua walikataa kumkabidhi muuaji kwa wale maninja a.k.a MPs
Wanashindwa nini kuvamia polisi wamchukue huyo kato badala ya kuumiza raia wasio na hatia!Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.