Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

Kwa huu utovu wa nidhamu raia hamna budi kupigwa tu na makamanda
 
Hata maandiko yamesema kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, malipo ya dhuluma ni kifo, kila mmoja wa hao MPs hio dhuluma itamuua na kutesa vizazi vyao vyote
Dua la kuku brother
 
Bila shaka nawe ulifikiwa na huduma za maninja endelea kuuguza makongoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majinga hayo nimeona video ya yule dogo alokuwa na ist wanajiona watu kumbe pichu tu, alafu tushawajua ni wangese tu yan bila kuwa vikundi vikundi wanapakwa mafuta vizuri tu wanalainika
 
Kosa ! Wahalifu Wote Wanapaswa kushikiliwa na Polisi.
Usituambie kwamba Wanajeshi walikuwa na Haki kuwapiga Raia wasio na Hatua huku wakijua Wazi kuwa Mhalifu alikuwa amekamtwa na anashikilwa Polisi.
Ni Ukosefu wa Nidhamu wa Jeshi Letu.
 
kwan upuuz si wa Muna , unapakije kijinga jinga barabaran
Muna aka Deo was very rude, how can a Lt.colnel argue with a civilian? One day I remember that He told someone to hit my car [emoji24][emoji24][emoji24] RIP shemela wangu
 
Kupiga Watu wasiohusika ni dalili ya uoga. Kutisha Watu wasijue udhaifu wako.
Hilo lilikua kutoa funzo kwa wengine.
Silaha yoyote ikitumika visivyo ndo unajikuta umeua,
Iwe kisu,panga,bisibisi,wembe, jembe hata rungu.
Huyo Kato kamuua mjeda unaweza kuta ni fala tu,mjeda kamchukulia poa kaenda kuvuta bisibisi na sidhani km nia yake ilikua kuua.
Ndo ishatokea miaka 30 itamuhusu km si maisha.
Na majirani mtaani watataabika sana hapo ukwamani.
 
Hizo sasa ndiyo akili zao, hapo ametumia IQ yake yote. Masoja bana
 
Mnaonea watu wa Dsm tu nyie maboya, huku kanda ya ziwa wanajeshi wanaishi kwa adabu hakuna ujinga ujinga wa namna hiyo
 
Una miaka mingap mkuu?........assume mmoja wapo kati ya hao soja ni mwanao wa kiume au binti yako........
 
Una miaka mingap mkuu?........assume mmoja wapo kati ya hao soja ni mwanao wa kiume au binti yako........
Mkuu sio ishu ya umri wala kuwa mwanangu wala nini upumbavu ni upumbavu tu, mfano huyo dogo alivyopigwa makofi angeenda police jushitaki angesikilizwa ? Hapana wasingemsikiliza na ndio mana kachukua sheria mkononi, askari wa tanzania wanaupuuzi fulani ivi ambao haupo nchi zingine, ila kuna kitu watakuwa wamejifunza. Anyways tuseme wako sawa upstairs alieua yupo ndani, ninyi mnapita kupiga watu mtaani why ? Wamekosa nini hawa watu mtaani ? Mnataka wawaone nyie ni miamba ? Mbona usengelema mwingine upo wazi sana hautaji hata mtu kueleza. Hili litapita watajusahau tena atakuja mtaan mwingine pekeake atapakwa mafuta atalainika….
 
Ngoja auawawe mwingine wapate akili apo wanatengenezeana visasi tu embu mwanajeshi mwingine ajichanganye Kwa raia huko pekee yake unafikiri watamuacha kweli
 
Mkuu ushauri wako ni mzuri lkn haipaswi kwenda ivo unataka tuanze kutengeneza maadui then tuanze kupigwa matukio ya kigaidi.Acha waendelee kuzurura humuhumu tuendelee kuishi kwa aman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…