Raia wa Kenya ni masikini kuliko Watanzania

Ww hujafika kenya ukajionea ama ukawa na wakenya. Wakenya weng matanir na pia masikini wapo. Kwa mfano angalia ata barabaran wakenya wengi wananunua magar ya kisasa ambayo hela yake kwa kwetu ni nyingi sana ila ukija tanzania wengi wetu tuko kwenye gar za chini ya 20M wakati kenya bila kuwa na 1M ya kenya hujaagixa gar
 
Kwa wakenya,
Ni rahisi Sana kijana unapambana Hadi unazeeka, unakufa bila kumiliki ardhi

Na usipoweka mifumo thabiti,
Hadi kizazi chako Cha 10 mtafia nyumba za kupanga
 
Watanzania tunalalamika ufisadi

Kule Kenya ndo Kumejaa mafisadi plus

Hasa wanasiasa, sio upinzani au utawala

Kule Watu wanafisadi Hadi maji ya kunywa,

Familia moja inaweza zuia maji yote yanayotiririlka bondeni kwa ajili ya swimming pool au bustani ya maua yake

Afu familia bondeni zikafa kwa ukame na serikali isimfanye chochote maana katiba inamlinda.

SERA ZA KENYA ZA UMASKINI NI HOVYO KABISA
 
Nimeishi Kenya nchi moja wananchi wake ni maskini wa kutisha ambao hujawahi kuona Tanzania, nilikuwa na mradi mmoja wa HIV nilizunguka nchi yote yao, Kenya sehemu Kubwa kuna 🏜️ jangwa na semi jangwa 🏜️ na ardhi yote yenye rutuba wamemiliki ma beberu wachache

Kinacho saidia Tanzania ni kuwa nchi ya kilimo na ufugaji nchi nzima ndio kinachowaokoa wa Tanzania
 
Kwenye kuagiza magari watanzania umetuonea Sana

Bado serikali yetu inaamini kumiliki Gari Ni anasa, Tunabambikwa Kodi zaidi ya 100% Bei halisi ya Gari

Kwa wakenya Gari Ni hitaji la msingi,
Kodi zao Ni rafiki Sana kwny magari

Ni Kama ilivyo kwa msumbiji au Zambia.

Msumbiji Wana uchumi mdogo
Ila Rolls Royce na Mercedes Utazikuata zimepaki uswahilini mazingira hata hayaeleweki
 
Mbona vijana wengi wamejiajiri kwenye boda na umaching hizi ndio fursa?
Changamoto Ni mifumo TU
Hasa upande wa elimu na uwezeshaji
Ila utajiri wa rasilimali ardhi tulonao amini nakwambia tunaweza kuwafuta boda na machinga wote mjini

Nchi Ina mapori kibao Yana rutuba vijana wanang'ang'ania kubaki jijini na degree zao wakilalama Bei ya vyakula iko juu.

Mtu anaefanyia kula TU kuboa kiuchumi ni ngumu, atazunguka pesa yote inaishia kula

Tumezidiwa na wasukuma na wafugaji,
Sahiv wamejanjaruka wanakaba fursa za pesa na wanatoboa haraka japo shule kwao bado ni Changamoto.
 
Ni upuuuzi uliotukuka kujilinganisha n Kenya muda wooooooote.
Kenya wana pesa n mzunguko wao wa pesa ni mkubwa kuliko kwetu. Kenya walishajenga miundombinu n mazingira rafiki kuvutia wawekezaji wa kubwa wa kubwa kutoka pande zote za dunia...
Umeelewa kweli nilichoongea wewe?
 
Sasa waTz wangapi wana 30M? [emoji23]
Nenda Kariakoo, kaulize mitaji ya watu wa pale. Achana na hapo nenda Iringa kwenye mashamba ya nyanya. Huko mbali, rudi Mwanza au kigoma kwa wamiliki Mitumbwi

Hiyo ni mifano michache kati ya Mingi ninayoijua, achana na nisiyoijua. Bongo wanaomiliki 30M ni wengi sana.

Hapo nimeongelea wafanyabiashara, sijaongelea wafanyakazi.
 
Kenya kuhusu pesa hatuwazidi hata kidgo labda swala la chakula mkuu
 
Umemuelewa mleta mada? Yeye amezungumzia uchumi wa mtu mmoja mmoja na si Taifa nami nakubaliana na yeye sio Kenya tu hiyo hali nimeiona Zambia na Malawi hali uchumi ya mtu mmoja mmoja ni mbaya sana bora mala mia ya Tanzania
 
Mkuu unajua kwa nini iko hivi? Hii ni sababu ya ARDHI TU. Kenya ardhi ni ya mtu, mali yake, lakini TZ ardhi ni ya umaa. Hivyo lazima ujue ukiwa na ardhi hata kama ni ya umiliki wa hati, umiliki ya miaka 33, 66 au hata 99 inaonekana ardhi hiyo ni yako. Hivyo utaitumia kwa kilimo na kukuwezesha kupata kipato cha kutosheleza familia. Kenya ardhi walishauziana siku nyingi, hivyo kama babu ya babu yako hakuwa na ardhi yake mwenyewe basi wewe hautakuwa na ardhi asilani abadani na utaishia kuwa kibarua tuu. Ndio maana namheshimu Mwl. JKN kwa kuweka ardhi iwe ya Wananchi, kwa maana ARDHI NI MALI YA UMMA, maana hata BABU yangu hajasoma anamiliki ardhi kwa niaba ya Serikali. JKN hana wa kulinganisha naye.
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…