Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Jun 26, 2024 #141 Atoto said: 🤣🤣🤣 Heaven Sent anadai huyo ni manka, wanyaki hawapo k.koo Click to expand... Sure kariakoo hakuna ke mnyaka hata mmoja, yule ni chali ya kaskazini kabisa.
Atoto said: 🤣🤣🤣 Heaven Sent anadai huyo ni manka, wanyaki hawapo k.koo Click to expand... Sure kariakoo hakuna ke mnyaka hata mmoja, yule ni chali ya kaskazini kabisa.
sheiza JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 7,640 Reaction score 11,680 Jun 26, 2024 #142 Kingsharon92 said: Umasikini mbaya sana huleta chuki na makasiriko Click to expand... Sio umaskini..ni uvumilivu ukifika mwisho.
Kingsharon92 said: Umasikini mbaya sana huleta chuki na makasiriko Click to expand... Sio umaskini..ni uvumilivu ukifika mwisho.
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Jun 26, 2024 #143 Kusoma muhimu sn. Hicho walichofanya hao wamama kumpiga raia wa kigeni nadhani hawajui madhara yake ndo maan wamejichukulia sheria mkononi
Kusoma muhimu sn. Hicho walichofanya hao wamama kumpiga raia wa kigeni nadhani hawajui madhara yake ndo maan wamejichukulia sheria mkononi
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 790 Reaction score 2,079 Jun 27, 2024 #144 toriyama said: Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19 #mgomo KARIAKOO 24/6/2024 View attachment 3025650 Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga Click to expand... Hatari
toriyama said: Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19 #mgomo KARIAKOO 24/6/2024 View attachment 3025650 Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga Click to expand... Hatari
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,430 Reaction score 5,910 Jun 27, 2024 #145 Pendaelli said: Ndio maana wanaume wa dar tunachekwa kila leo. Click to expand... swanasema tz hakuna wanaume🤣🤣🤣kwasasa wanaume wapo kenya
Pendaelli said: Ndio maana wanaume wa dar tunachekwa kila leo. Click to expand... swanasema tz hakuna wanaume🤣🤣🤣kwasasa wanaume wapo kenya
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Jun 28, 2024 #146 Pendaelli said: Sure kariakoo hakuna ke mnyaka hata mmoja, yule ni chali ya kaskazini kabisa. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Pendaelli said: Sure kariakoo hakuna ke mnyaka hata mmoja, yule ni chali ya kaskazini kabisa. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Hardbody JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 4,139 Reaction score 4,640 Jun 28, 2024 #147 Aisee