Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sasa kufungua duka si haki yake. Kwani kimugoma lazima?Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga..
Au hakuona tangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kufungua duka si haki yake. Kwani kimugoma lazima?Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga..
Au hakuona tangazo
Sawa.Naunga moja na mbili nakaribia kupata tatu
Angalia vizuri yule mama aliyejaribu kumpiga teke, karibu aanguke akanyakwa na mchinaSawa.
Kafanyaje Don Yen tena?
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
View attachment 3025650
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Acha kuangalia cinema za Kichina wewe Ntoto ya inzi sauwaa?Sasa Hawa kina Shivooo si wanapiganaga na watu mpaka 20..
Masikini Kanchina kawatu!
Ungesoma hiyo comment "between the lines" ...ungeelewa Nini maana ya "sarcasm"..na usingejibu ulivyojibu... Sasa elewa terminology na huo msemo ...halafu Rudia comment yangu ..ndio utanielewa ...vitu vingine ni rahisi sana ...ila Kwa kuwa mnasomaga kujibu na sio kusoma kuelewa haujaelewa kabisa Nini nilimaanisha.Acha kuangalia cinema za Kichina wewe Ntoto ya inzi sauwaa?
zinakudanganya hizo drama za kina Ling shen sheng
mambo kwa ground ni tofauti hapo kina mama Tuntufye Malafyale kutoka kyela si umeona show yao?
😁😁
so maduka mmefungua?Siyo ishu ya kufungua duka hapo, ila kuna lingine acheni kututisha sie tunaofungua
Hizi ni pororpaganda
Mboni nilikuelewi tu Ntu wangu sema ni vilo tu unachukulii mambo serious sano hapo nilitoki nje ya topic kuchekeshi tu!Ungesoma hiyo comment "between the lines" ...ungeelewa Nini maana ya "sarcasm"..na usingejibu ulivyojibu... Sasa elewa terminology na huo msemo ...halafu Rudia comment yangu ..ndio utanielewa ...vitu vingine ni rahisi sana ...ila Kwa kuwa mnasomaga kujibu na sio kusoma kuelewa haujaelewa kabisa Nini nilimaanisha.
Kabisa na kufungua kabisaso maduka mmefungua?
Kidogo ni kutagNimeona...
Kuna mahali kina Manka tumehusishwa....Sijapenda🤣🤣🤣🤣
Ndio maana wanaume wa dar tunachekwa kila leo.🤣🤣🤣🤣🤣ila watu wabaya wamesubiri apatiwe kipondo kwanza alafu wanajifanya kuulizia wadada waliompiga wakat wapo hapo hapo jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣