Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Du Kumbe hata wewe ni mwoga namna hii? Tukiwa woga namna hii tutazidi kudidimia. Hivi wewe unadhani unaweza kwenda China wakaweka msimamo juu ya jambo fulani halafu wewe mweusi ukawapinga? Watakuua mara moja.
Nimejaribu tu kuangalia iwapo siasa itaingilia kati suala hili
 
hilo tukio lingetokea China au nchi ya watu weupe yoyote alafu mtu mweusi ndio akawa anapgwa kama hivo ungeanza kusikua wapuuzi wanalialia Ubaguzi
 
Badala ya kuandamana kama wakenya cha ajabu mnafanya utoto wa kufunga biashara, maana kuna wenzangu na mimi asipoingia kariakoo hamna ugali siku hiyo sijui itakuwaje. The best way ni kuandamana hayo mnayofanya ya kufunga maduka ni utoto. Tuliosoma Cuba tulimuelewa sana mkuu wa mkoa Albert Chalamila maana huyo ni mtu anayeongea maneno kama mzaha lakini yanakuwa na maana kubwa sana. Namkubali sana mkuu wangu wa mkoa Albert Chalamila
 
Oooooh kumbe alikuwa anapata mshale wake wa jicho kama tangazo lilivyo eleza
Ila hao wadada wajiangalie kwa hayo maamuzi waliyo chukua
hawawezi kufanywa chochote bro hiyo inaitwa mob justice unafikiri serikali wajinga wakiwakamata hao wadada utawaka moto ambao kuuzima itakuwa ngumu sana maana wataonekana kama mashujaa unafikiri serikali wao wajinga.Wangekuwa wanampiga mtanzania usingesema hivyo.

Ila na wewe nikuulize hivi mtanzania unaweza kwenda China mfano Guazhou ukafungua biashara kirahisi kwenye Kariakoo yao huko?
 
Back
Top Bottom