Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Wachina wapo wa aina mbili. 1. Wanaofanana na kina Jackie Chan ama Bruce Lee.
2. Wa mipakani kwa mfano wanao pakana na india na wengine wa Tibeti kule.

Huyo atakuwa mtibeti au wa mpakani na india
Hata kamq wanajua self self defense sheria zimewabana sana sio tu za Tanzania hata za kwao....
 
Back
Top Bottom