Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Huyo dada mwenye kilemba chekundu aliemdondosha chini mchina🤣🤣Nani huyo ni Chun Li
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dada mwenye kilemba chekundu aliemdondosha chini mchina🤣🤣Nani huyo ni Chun Li
Nimelia sana kwakweliChun Li
Ni yule wa kule kwa kina Mwakareli?Huyo dada mwenye kilemba chekundu aliemdondosha chini mchina🤣🤣
Sio Tuntu bana. Huyo nahisi atakuwa ni Manka au Binti Sanga; ndiyo wengi wapo K/Koo🤣🤣Halafu kidogo nikutag uje umshuhudie Tuntufye alivyotuwakilisha vyema kimataifa🤣🤣🤣🤣
Mshenzi mkubwa weye Uislamu na waislamu waingiaje apo mwanaharamu weyesavage, uislamu, ushenzi na waislamu wanaharibu hii nchi …
Chun Li anachezea pondo na wamama wenye jazba wanapiga taikwando sio mchezo mpaka malapa duuuhNimelia sana kwakweli
🤣🤣🤣🤣Sio Tuntu bana. Huyo nahisi atakuwa ni Manka au Binti Sanga; ndiyo wengi wapo K/Koo🤣🤣
Itakua kwa Mzee Sanga hata Mimi nimeona hilo kwa Mbali aisee wanapiga bila refaSio Tuntu bana. Huyo nahisi atakuwa ni Manka au Binti Sanga; ndiyo wengi wapo K/Koo🤣🤣
Yani huyo bonge mweusi anapigana kama mwanaumeee me ndo maana kupigana siweziii maishaaChun Li anachezea pondo na wamama wenye jazba wanapiga taikwando sio mchezo mpaka malapa duuuh
Aaah sisi tena kwa kugawa nakozi. Usinikumbushe ule uzi wetu jamani🤣🤣🤣🤣
Hata akina tuntu wanajitahidi bwana.
Atakuwa mkuriaYani huyo bonge mweusi anapigana kama mwanaumeee me ndo maana kupigana siweziii maishaa
Naepuka aibu ndogo ndogo
Hata mimi nimeamini ni binti Sanga huyo🤣🤣Itakua kwa Mzee Sanga hata Mimi nimeona hilo kwa Mbali aisee wanapiga bila refa
Asee janajike La vile hadi mume linapiga. Kama aunty yangu mmoja mngoni alikuwa anampiga anko liveAtakuwa mkuria
🤣🤣🤣🤣🤣Aaah sisi tena kwa kugawa nakozi. Usinikumbushe ule uzi wetu jamani
Sisi ndiyo wanyaki. Msalimie sana Makiwendo🤣🤣🤣🤣🤣
Aaah hamjawahi kuniangusha kabisa! Nikiwa bored huwa nautafuta nicheke.