Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha huko Uingereza sasa hivi kuna mambo ya hovyo kabisa yanafanyika kinyume kabisa na desturi za watu wa Uingereza.
Sasa hivi Uingereza imekuwa hatari sana kwa baadhi ya jamii hapa duniani leo hii nchi imię gilowa na waislamu imeshakuwa hatari Ubakaji,widzi,mauaji na maandamano ya siyo na tija yanafanyika kila leo na wahamiaji hao hii ni hatari sana kwa serikali ya Uingereza kufuatia macho ujinga huu!!
----------------------
Kikundi cha waandamanaji Waislamu waliovaa barakoa na mavazi meusi kilijitokeza mitaani mashariki mwa London leo, wakiahidi “kusimama imara” na “kutetea jamii yao” dhidi ya maandamano yaliyopangwa na chama cha UKIP
Makundi ya vijana yalionekana yakipita barabarani Whitehall, yakibeba bendera za Palestina na Bangladesh, huku wengine wakisali katikati ya maandamano. Katika video moja, mmoja wa waandamanaji alisikika akihamasisha wenzake kupitia kipaza sauti akisema: “Wametulenga sisi Waislamu, wamekuja kwa madai ya vita vya msalaba. Tunasimama imara kuwalinda wazee, wanawake, na jamii yetu.”
Chama cha UKIP, kinachoongozwa na Nick Tenconi, kilikuwa kilipanga kufanya maandamano Whitechapel kwa kaulimbiu kama “rejesha nchi yetu” na “kataa waislamu wenye misimamo mikali.” Hata hivyo, Polisi wa Jiji la London (Metropolitan Police) walipiga marufuku maandamano hayo kwa hofu ya kuzuka vurugu katika eneo la Tower Hamlets, linalojulikana kwa idadi kubwa ya Waislamu
Baada ya marufuku hiyo, wafuasi wa UKIP walihamishia maandamano yao katikati ya London, wakiwa wamebeba mabango yenye maandiko “Waislamu wenye misimamo mikali hawakaribishwi Uingereza.” Wengine walionekana wakipiga kelele “okoa taifa letu” na “ondoa wahamiaji haramu.”
Polisi walithibitisha kuwakamata waandamanaji wanne waliokiuka masharti kwa kujitokeza katika njia ya maandamano ya UKIP
Mamlaka ya Tower Hamlets ilishukuru uamuzi wa polisi, ikisema inaunga mkono juhudi za “kupinga makundi ya mrengo wa kulia” yanayolenga kuvuruga amani ya jamii
Kamanda Nick John alisema: “Eneo la Tower Hamlets lina idadi kubwa zaidi ya Waislamu nchini Uingereza. Kwa usalama wa umma, tumezuia maandamano haya kufanyika hapa ili kuepuka vurugu na usumbufu mkubwa.”