Raia wa Kiislamu waandamana London wakidai kulinda jamii yao dhidi ya harakati za chama cha UKIP

Raia wa Kiislamu waandamana London wakidai kulinda jamii yao dhidi ya harakati za chama cha UKIP

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha huko Uingereza sasa hivi kuna mambo ya hovyo kabisa yanafanyika kinyume kabisa na desturi za watu wa Uingereza.

Sasa hivi Uingereza imekuwa hatari sana kwa baadhi ya jamii hapa duniani leo hii nchi imię gilowa na waislamu imeshakuwa hatari Ubakaji,widzi,mauaji na maandamano ya siyo na tija yanafanyika kila leo na wahamiaji hao hii ni hatari sana kwa serikali ya Uingereza kufuatia macho ujinga huu!!

----------------------

Kikundi cha waandamanaji Waislamu waliovaa barakoa na mavazi meusi kilijitokeza mitaani mashariki mwa London leo, wakiahidi “kusimama imara” na “kutetea jamii yao” dhidi ya maandamano yaliyopangwa na chama cha UKIP

Makundi ya vijana yalionekana yakipita barabarani Whitehall, yakibeba bendera za Palestina na Bangladesh, huku wengine wakisali katikati ya maandamano. Katika video moja, mmoja wa waandamanaji alisikika akihamasisha wenzake kupitia kipaza sauti akisema: “Wametulenga sisi Waislamu, wamekuja kwa madai ya vita vya msalaba. Tunasimama imara kuwalinda wazee, wanawake, na jamii yetu.”



Chama cha UKIP, kinachoongozwa na Nick Tenconi, kilikuwa kilipanga kufanya maandamano Whitechapel kwa kaulimbiu kama “rejesha nchi yetu” na “kataa waislamu wenye misimamo mikali.” Hata hivyo, Polisi wa Jiji la London (Metropolitan Police) walipiga marufuku maandamano hayo kwa hofu ya kuzuka vurugu katika eneo la Tower Hamlets, linalojulikana kwa idadi kubwa ya Waislamu

1761459761444.png

Baada ya marufuku hiyo, wafuasi wa UKIP walihamishia maandamano yao katikati ya London, wakiwa wamebeba mabango yenye maandiko “Waislamu wenye misimamo mikali hawakaribishwi Uingereza.” Wengine walionekana wakipiga kelele “okoa taifa letu” na “ondoa wahamiaji haramu.”

1761460020826.png

Polisi walithibitisha kuwakamata waandamanaji wanne waliokiuka masharti kwa kujitokeza katika njia ya maandamano ya UKIP

Mamlaka ya Tower Hamlets ilishukuru uamuzi wa polisi, ikisema inaunga mkono juhudi za “kupinga makundi ya mrengo wa kulia” yanayolenga kuvuruga amani ya jamii

Kamanda Nick John alisema: “Eneo la Tower Hamlets lina idadi kubwa zaidi ya Waislamu nchini Uingereza. Kwa usalama wa umma, tumezuia maandamano haya kufanyika hapa ili kuepuka vurugu na usumbufu mkubwa.”

​
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    4.5 MB
wwtavuna wanachopanda.... hivyo hicyo kwa ufaransa na u german.. baada ya miaka 15 mbele utaanza kusikia machafuko na waislam kudai haki zao
 
Wafuga Midevu na Majini wakijigamba kuiteka nyara Uingereza na waingereza wenyewe wakiufyata mkia!!! Aibu sana hii!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    2.7 MB
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha huko Uingereza sasa hivi kuna mambo ya hovyo kabisa yanafanyika kinyume kabisa na desturi za watu wa Uingereza.

Sasa hivi Uingereza imekuwa hatari sana kwa baadhi ya jamii hapa duniani leo hii nchi imię gilowa na waislamu imeshakuwa hatari Ubakaji,widzi,mauaji na maandamano ya siyo na tija yanafanyika kila leo na wahamiaji hao hii ni hatari sana kwa serikali ya Uingereza kufuatia macho ujinga huu!!
Sasa siutoke wewe na wakristo wenzio mkaiokoe?
 
Uingereza nao waanze kudeport hao watu ambao hawafuati tamaduni za kizungu
Kama wanataka sana amani hao waislamu kwa nini wasiende Qatar, Saudi Arabia au nchi nyingine za Kiislamu. Tatizo wazungu wamezidi sana ustaarabu na kudekeza immigrants. Na sisi Tanzania ilianza kujaa Wachina, nashukuru Mungu, serikali ikawazuia kufanya baadhi ya biashara hapa Tz. Hii kidogo itapunguza uwingi wao hapa, maana hata China sidhani kama wanaruhusu mtu mweusi kwenda kulima au kuuza mahindi mtaani au hata kuanzisha barber shop nk
Na Uingereza waangalie hilo, hao watu hawana shukrani kabisa. Ukiwa kwa watu, fuata tamaduni zao
 
Wageni ni wazuri ila wanaweza kukugeuza
 
Wazungu huwa sio mafala wanagaka waonyeshe ulimwengi jinsi jamii ya kiislam ilivyo ili siku waki anza crusade wasije lalamikiwa,its all planed ili kufikia new world order
Hapa waliwahiwa, labda Mungu alitoe mlango mwingine
 
Back
Top Bottom