Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?