The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Jeshi la 6 linashindwa kumalizana na Kakikundi kapo hapo Kongo jirani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la 6 linashindwa kumalizana na Kakikundi kapo hapo Kongo jirani?
Jeshi letu limejipotezea heshima lenyeweNaamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Tuanzie hapa,Binafsi sioni mantiki ya kuwaiga marekani, wana mifumo yao na sisi tuna ya kwetu. Ninachopinga ni adhabu zisizofata sheria pale unapokamatwa na kosa la kuvaa nguo ya jeshi.
Kwahiyo unabishana na msemaji wa jeshi letu.Hata ukaongeza 0 iwe 60 hatuwezi kuwepo,hio Africa yenyewe top 10 hutuoni
Kwenye bendera kuna matumizi gani mabaya ikiwa sehemu inayoonekana? Au kwanini wanakatasa kuweka nyumbaniMarekani sheria haikatazi mtu kuvaa hayo mavazi ndio maana Wamarekani wanavaa na hakuna tatizo.Tanzania kwa mujibu wa sheria hairuhusiwa “raia” yeyote kuvaa mavazi ya jeshi la Tanzania isipokuwa kwa ruhusa ya Rais au ukawaombe wahusika wa hayo mavazi mf wasanii.Bendera zipo zinauzwa ILA sheria inakataza kwa matumizi mabaya.
Mioyo kazi yake ni kusukuma damu mazee.Sisi Bendera zetu za taifa zinapeperuka kwenye Mioyo yetu
Tunaipenda sana Nchi yetu tena sana ila usiwe mtu wa kukariri kuwa kuonesha upendo lazima tuoneshe kwa njia ya wanaonesha wengine
mbona mie nawapenda sana wake zangu lakini siwalishi Keki hadharan kwa mdomo wala siwaposti kwny mitandao.
Marekani ni akili kubwa, hawa wa kwetu, ni akili ndogo Sana, ni watu wasiojielewaNaamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Ma swali mazuri sana kiongozi! Lkn hapa tupo Tanzania mkuu Kila nchi Ina Mila destuli,Sheria na taratibu zao, ndiomana hata hao wamarekani wanasumbuliwa na watu wanaomiliki siraha kihorela kwakuwa hata wao Wana madhaifu Yao! Sijapinga hoja yakoNaamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Njoo lugalo kesho tukuambie [emoji3061]Jeshi letu ni la ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila taifa na utaratibu waoNaamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Mkuu Yoda mm sitaki wala kufanya mambo yawe magumu, jeshi halitaki tuvae sare basi tuvae nguo nyingine ishu hapa ni ukivunja hiyo sheria usiadhibiwe bila kufata sheria.Tuanzie hapa,
Nguo ya jeshi inafikaje kwa raia mtaani?
Hivi kila kifanyikacho marekani lazima tu copy?Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?