Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
La sita. The sixth. Mbele kiduchu ya tano. Moja jumlisha mkaga. Yaani mkono ongeza kamoko.Jeshi letu ni la ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kujipendekeza na kujidekeza tu.Unakuta mmoja kapewa madaraka makubwa(kapewa) ila anahamasisha kuukumbatia umasikini wa akili.Na hatimaye hata mali zinagoma kuingia kwenye akili zilizozingirwa kwa ufukara.Fikiria,watu wanahimizwa uzalendo halafu wakionesha uzalendo wanachapwa.Bendera au nguo mfanano wa zile za jeshi ndiyo iwe nongwa kutumiwa na raia?Akili za Mtanzania ni finyu mno!
Na kwasababu hiyo ndio maana ni maskini wa kutupa na bado yuko anaamini uchawi, nguvu za giza na kulogana!
Hata ukaongeza 0 iwe 60 hatuwezi kuwepo,hio Africa yenyewe top 10 hutuoniJeshi letu ni la ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna hofu tusiyojua ni ya niniNaamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Wacha aisee! Mbona unatuangusha hivyo?Hata ukaongeza 0 iwe 60 hatuwezi kuwepo,hio Africa yenyewe top 10 hutuoni
Miaka ya nyuma tulifundishwa kila raia ni mwanajeshi....Sasa kuonyesha upendo na uzalendo..tulitegemea tupige mabaka mabakaMarekani sheria haikatazi mtu kuvaa hayo mavazi ndio maana Wamarekani wanavaa na hakuna tatizo.Tanzania kwa mujibu wa sheria hairuhusiwa “raia” yeyote kuvaa mavazi ya jeshi la Tanzania isipokuwa kwa ruhusa ya Rais au ukawaombe wahusika wa hayo mavazi mf wasanii.Bendera zipo zinauzwa ILA sheria inakataza kwa matumizi mabaya.
Sema yote lakini kuloga kupo........ukikuwa utayaona.Akili za Mtanzania ni finyu mno!
Na kwasababu hiyo ndio maana ni maskini wa kutupa na bado yuko anaamini uchawi, nguvu za giza na kulogana!
Acha niweke kambi hapa😂😂Hata ukaongeza 0 iwe 60 hatuwezi kuwepo,hio Africa yenyewe top 10 hutuoni
Wamarekani na bendera yao huwaambii kitu.Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
La mwisho. Yako sita, letu ni la 6,Jeshi letu ni la ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soma lugha ya picha ya mwandishi.Huo ni ulimwengu wa kwanza, sisi bado tuko wa tatu.
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Na mwanajeshi ni nani hasa?Miaka ya nyuma tulifundishwa kila raia ni mwanajeshi....Sasa kuonyesha upendo na uzalendo..tulitegemea tupige mabaka mabaka
Sema yote lakini kuloga kupo........ukikuwa utayaona.
Marekani kuna utawala wa Katiba na sheria, Tz hatuna, tunafuata matamshi na mapendekezo ya watu.Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?