Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini.
Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini.
Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti ya kukaa karantini ni India ambayo ni ya tatu kwa wingi wa maambukizi ya #COVID19 na Urusi ambaye ni ya nne kwa maambukizi.
====