Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Nyie na viongozi wenu ni malofa tu.

Poleni sana ila ndivyo ilivyo, corona imeleta new world order, tulishuhudia kwa mara ya kwanza UK na US wakifungiana ikikumbukwa wale ni ndugu kabisa. Kwa sasa hatupo tayari kurubuni watu wetu kisa mindege yetu kutua Bongo, kama vipi abiria wanaotaka kuja huko tunawaunganisha kiana wanatua kwa kutumia ndege kutokea mataifa msiokua na chuki nao.

Corona imethihirisha mengi sana hususan kuhusu mataifa yaliyojichokea na yasiyo na thamani kwa watu wake.
 
Bongo wakijbu hii tit for tat wanadai Magu ana kiburi
Hivi wewe unaweza kujamiana na MTU anayekataa kupima gono? Nchi yetu haiaminiki huko nje, maana haipimi watu wake huku ikijiaminisha imepona kwa maombi ya Gwajima.
 
Poleni sana ila ndivyo ilivyo, corona imeleta new world order, tulishuhudia kwa mara ya kwanza UK na US wakifungiana ikikumbukwa wale ni ndugu kabisa. Kwa sasa hatupo tayari kurubuni watu wetu kisa mindege yetu kutua Bongo, kama vipi abiria wanaotaka kuja huko tunawaunganisha kiana wanatua kwa kutumia ndege kutokea mataifa msiokua na chuki nao.

Corona imethihirisha mengi sana hususan kuhusu mataifa yaliyojichokea na yasiyo na thamani kwa watu wake.

Dah, siamini macho yangu, jamaa si umefika Tz, si una frnds huku, si uwaulize, aise ww ni mpumbavu kinoma, ila najua unatetea mkate wako, lkn onea huruma wakenya wenzako, hivi kwa akili zako finyo, ni nchi ipi isiyo na thamani kwa wananchi wake, mnaibiwa hela za covid, mnaibiwa msaada from Jack ma, inauzwa bongo, bongo everything is back to normal, hakuna restrictions kwa yeyote, sio wauza beers, sio mashule, sio tourist companies, every fvcking thing is back to normal, but you guys, hapo mpakani na rombo kuna cases watu wanateseka sana.

Afu u have de audacity ya kusema CCM haina thamani kwa wananchi, you're so stupid dude, so so much, worse enough you have acknowledged ni new world order, it's not a disease its an installation of new world order, now I guess you're sure now that Kenya was, is and will forever be a puppet for west interests without regards to Africans as it was done enzi za makaburu, without regards to fellow Kenyans as we're witnessing now. Woi, sijawai ona wapuuzi collective like am witnessing now, sis angu kaolewa huko, mme wake anademand kuhama Kenya, tunawawekea masuala vizuri huku, meeting you yapping these nonsense, najikuta natamani kukupiga shaba, bora gunia la mchele.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu hii nimefrahi sana yaani katika vitu wakenya waliwahi kupatia ni hili

Yaani huu mtifuano uendelee KQ isije kuruka Tanzania kabisa
Hapa ndio nilipokua ninapataka, katika matatizo kama haya ya ugonjwa wa Corona, ndio tumejua serikali zipi ni dhahifu na zipi ni imara. Katika huu mtifuano ndio itadhihirisha bila mashaka yoyote kwamba nani kati ya Kenya na Tanzania yupo katika "driving seat" hapa EA. [emoji251][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hak nyang'au Kabla ya saa 6 mchana wataboresha list yao na kuiongezea Tanzania
Usiwe na wasiwasi mahusiano na nchi za nje EAC na SADC pamoja na dunia nzima yatarudi kuwa ya kawaida November huku tukiwa na viongozi wana diplomasia wazuri
 
Wanaona wivu uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi kinyume na predictions.

Lazima walete figisu kama hizi. Ila hatuachi tutayapiga SPANA mpaka yanyooke. Tena lile lispana likubwa. Piga SPANA sana hawa dada zetu. Tena tunatumia lile adjustable tukiona vipi tunapanua na kupiga zaidi hadi mtuzalie matunda.

TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULE
bahco-84-podger-adjustable-wrench-big-sizes-podger.jpg
 
Poleni sana ila ndivyo ilivyo, corona imeleta new world order, tulishuhudia kwa mara ya kwanza UK na US wakifungiana ikikumbukwa wale ni ndugu kabisa. Kwa sasa hatupo tayari kurubuni watu wetu kisa mindege yetu kutua Bongo, kama vipi abiria wanaotaka kuja huko tunawaunganisha kiana wanatua kwa kutumia ndege kutokea mataifa msiokua na chuki nao.

Corona imethihirisha mengi sana hususan kuhusu mataifa yaliyojichokea na yasiyo na thamani kwa watu wake.
Kwahiyo nyie Kenya ndo mnathamini sana watu wenu, juzi tu hapa watu wamekula pesa za msaada wa Vifaa Tiba vya Corona, sasa hapo una thamini nini[emoji23][emoji23][emoji23]

This time we will surely show you who holds the hoe handle
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
I see your trying to beat bush around, despite that u know the truth in depth.ukweli ni kwamba,baada ya nyinyi kuona uwekezaji wa miundo mbinu unaofanyika hapa TZ,inawapa wasiwasi wa kupoteza soko la biashara hapa EA na Tz kwa ujumla.

Tiff ni ya kiuchumi zaidi na haihusiani na Corona Kama unavyojaribu ku'dirail topic.na Kama utakuwa umegundua,baada ya TZ kuingia middle income,ndio mnyukano wa TZ na Kenya umekuwa mkubwa Sana.

Njia mnayotumia kupambana na TZ,ni ya kizamani mno,kwa hatua TZ iliyofikia,ni unstoppable,na hii njia italeta hata vita msipotafuta strategy ambayo ni advanced Kama hii ya kuingia mikataba ya biashara na Marekani ili kuipunguza nguvu Tz,najua, though your backed by US on this Tiff, you'll loose heavily!japo hata Sisi tutaumia kiasi,but you'll suffer heavily on this!
 
Wanaona wivu uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi kinyume na predictions.

Lazima yalete figisu kama hizi. Ila hatuachi tutayapiga SPANA mpaka yanyooke. Tena lile lispana likubwa. Piga SPANA sana hawa dada zetu. Tena tunatumia lile adjustable tukiona vipi tunapanua na kupiga zaidi hadi mtuzalie matunda.

TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULEView attachment 1542660
Mkuu, subiri uone reaction ya Magu kwa hili, this time, watatoka hadharani kutoa povu.
 
I see your trying to beat bush around, despite that u know the truth in depth.ukweli ni kwamba,baada ya nyinyi kuona uwekezaji wa miundo mbinu unaofanyika hapa TZ,inawapa wasiwasi wa kupoteza soko la biashara hapa EA na Tz kwa ujumla. Tiff ni ya kiuchumi zaidi na haihusiani na Corona Kama unavyojaribu ku'dirail topic.na Kama utakuwa umegundua,baada ya TZ kuingia middle income,ndio mnyukano wa TZ na Kenya umekuwa mkubwa Sana. Njia mnayotumia kupambana na TZ,ni ya kizamani mno,kwa hatua TZ iliyofikia,ni unstoppable,na hii njia italeta hata vita msipotafuta strategy ambayo ni advanced Kama hii ya kuingia mikataba ya biashara na Marekani ili kuipunguza nguvu Tz,najua, though your backed by US on this Tiff, you'll loose heavily!japo hata Sisi tutaumia kiasi,but you'll suffer heavily on this!
Achana naye mkuu, anajua ila anajifanya haelewi
 
Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini.

Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini.

Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti ya kukaa karantini ni India ambayo ni ya tatu kwa wingi wa maambukizi ya #COVID19 na Urusi ambaye ni ya nne kwa maambukizi.

====

Mbona mnalalama lalama apo wamesema izo nchi xitaingia bila ya kuwekwa karantino. So mbongo utachili karantini alafu safi tu, hiyo ni kwa usalama wao maana sisi korona tumeiua kisaniisaniii kwa mtazamo wao so wapo sahihi tu.
 
Dah, siamini macho yangu, jamaa si umefika Tz, si una frnds huku, si uwaulize, aise ww ni mpumbavu kinoma, ila najua unatetea mkate wako, lkn onea huruma wakenya wenzako, hivi kwa akili zako finyo, ni nchi ipi isiyo na thamani kwa wananchi wake, mnaibiwa hela za covid, mnaibiwa msaada from Jack ma, inauzwa bongo, bongo everything is back to normal, hakuna restrictions kwa yeyote, sio wauza beers, sio mashule, sio tourist companies, every fvcking thing is back to normal, but you guys, hapo mpakani na rombo kuna cases watu wanateseka sana.

Afu u have de audacity ya kusema ccm haina thamani kwa wananchi, you're so stupid dude, so so much, worse enough you have acknowledged ni new world order, it's not a disease its an installation of new world order, now I guess you're sure now that Kenya was, is and will forever be a puppet for west interests without regards to Africans as it was done enzi za makaburu, without regards to fellow Kenyans as we're witnessing now.

Woi, sijawai ona wapuuzi collective like am witnessing now, sis angu kaolewa huko, mme wake anademand kuhama Kenya, tunawawekea masuala vizuri huku, meeting you yapping these nonsense, najikuta natamani kukupiga shaba, bora gunia la mchele.

Kuwauliza Watz wachache ninaowajua hakuwezi kuwakilisha watu milioni 60, maana majibu yao hayatakua na msngi wowote kisayansi kwenye hili janga la kisayansi, mlipima namba zikapandisha zaidi ya mia tano ghafla rais wenu akapata jazba kama hii unayojifanya kuwa nayo, mkasimamisha shughuli zote za kupambana na corona na kuamua kila mtu ahangaikie kwake na kuifanya siri ya ndani.

Leo hii Mtanzania kujitangaza ana corona atakashifiwa hadi ajifie, huo ni ujinga sana na sio namna kabisa ya kupambana na janga linaloitesa dunia, ilipaswa serikali iongoze kwa mbele.

Mbaya zaidi mnalazimishia muingie kwenye nchi za watu na njaa zenu hizo hamtaki mpimwe, majirani zenu wote wamekua wajasiri na hawafichi chochote, tunapimwa na kushughulkia corona bila uwoga, ona hata makamu wa rais Zambia ametangazwa kuwa na corona, nyie waoga mnapaswa mjifunze kitu Zambia's vice president Inonge Mutukwa tests positive for COVID-19 - Citizentv.co.ke
 
I see your trying to beat bush around, despite that u know the truth in depth.ukweli ni kwamba,baada ya nyinyi kuona uwekezaji wa miundo mbinu unaofanyika hapa TZ,inawapa wasiwasi wa kupoteza soko la biashara hapa EA na Tz kwa ujumla. Tiff ni ya kiuchumi zaidi na haihusiani na Corona Kama unavyojaribu ku'dirail topic.na Kama utakuwa umegundua,baada ya TZ kuingia middle income,ndio mnyukano wa TZ na Kenya umekuwa mkubwa Sana. Njia mnayotumia kupambana na TZ,ni ya kizamani mno,kwa hatua TZ iliyofikia,ni unstoppable,na hii njia italeta hata vita msipotafuta strategy ambayo ni advanced Kama hii ya kuingia mikataba ya biashara na Marekani ili kuipunguza nguvu Tz,najua, though your backed by US on this Tiff, you'll loose heavily!japo hata Sisi tutaumia kiasi,but you'll suffer heavily on this!

Hata sijasoma utopolo wote huo, corona haihusiani na miundo mbinu, afya yetu ni muhimu, nyie mlishatelekezwa.
 
Kuwauliza Watz wachache ninaowajua hakuwezi kuwakilisha watu milioni 60, maana majibu yao hayatakua na msngi wowote kisayansi kwenye hili janga la kisayansi, mlipima namba zikapandisha zaidi ya mia tano ghafla rais wenu akapata jazba kama hii unayojifanya kuwa nayo, mkasimamisha shughuli zote za kupambana na corona na kuamua kila mtu ahangaikie kwake na kuifanya siri ya ndani.

Leo hii Mtanzania kujitangaza ana corona atakashifiwa hadi ajifie, huo ni ujinga sana na sio namna kabisa ya kupambana na janga linaloitesa dunia, ilipaswa serikali iongoze kwa mbele.

Mbaya zaidi mnalazimishia muingie kwenye nchi za watu na njaa zenu hizo hamtaki mpimwe, majirani zenu wote wamekua wajasiri na hawafichi chochote, tunapimwa na kushughulkia corona bila uwoga, ona hata makamu wa rais Zambia ametangazwa kuwa na corona, nyie waoga mnapaswa mjifunze kitu Zambia's vice president Inonge Mutukwa tests positive for COVID-19 - Citizentv.co.ke
Wa Tz wachache unaowajua si wanajuana na wa Tz wengi wanaojua wengine na wengine, like a fvckin chain, something you can't even decipher, haiwezekani kuficha kitu kama icho, kama kweli kinatokea, unaogopa kuwauliza sababu unajua jibu utalopewa which will make u and your government look dumb.
 
Mamlaka nchini Kenya zimetoa orodha mpya ya raia wa nchi 130 ambao wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini.

Hata hivyo, Taifa jirani la Tanzania halimo katika orodha hiyo. Kwa nchi za Afrika Mashariki ni Rwanda na Uganda ndizo zilizomo kwenye orodha hiyo.

Kenya ilifungua anga lake Agosti Mosi na Tanzania pia haikuwemo kwenye orodha ya awali. Hali hiyo ilisababisha mamlaka za Tanzania kuzuia ndege za Shirika la Ndege la Kenya kutua nchini.

Licha ya viongozi wa pande zote mbili kusema wanafanya mazungumzo, bado undani ama matokeo ya mazungumzo hayo havijawekwa wazi.

Source: BBC Swahili
 
Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua?
 
Back
Top Bottom