Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua?
Uwezi kuficha maradhi acha ushamba hamna mtu atanyamaza kuficha maumivu ya kupoteza ndugu na kwa maendelea haya ya tehama huwezi kumzuia MTU akitaka kusema ya moyoni, kwa hiyo wewe jua kwambaa korona Tanzania imeshaisha shule zimefunguliwa hakuna mwanafunzi aliyefariki.watu wanaendelea na kazi zao.
 
Wa Tz wachache unaowajua si wanajuana na wa Tz wengi wanaojua wengine na wengine, like a fvckin chain, something you can't even decipher, haiwezekani kuficha kitu kama icho, kama kweli kinatokea, unaogopa kuwauliza sababu unajua jibu utalopewa which will make u and your government look dumb.

Mbona unaandika kama mjinga usiyetumia ubongo, leo hii mimi hapa uniulize hali ya corona Kenya eti jibu langu ndio utatumia kujua uhalsia. Sijui huko kwenu tatizo lipo kwenye elimu au uwezo wenu upo mdogo wa kufikiria.

Kuna Mtz mmoja demu ninayemfahamu muda mrefu, ameumwa wiki nzima chumbani, mwenyewe hakua anajua anaumwa nini na hakutaka kwenda kutafuta msaada kwenye kituo cha afya, na sasa amepona anadunda mtaani freshi full afya, so ni vigumu kwangu mimi kufanya conclusion kwa kuuliza uliza watu maana nyote mumeingiwa hofu hata mkiumwa hakuna anayetaka kwenda kupimwa.
 
Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua???

Hoshea aliyeandika hili bango ni Mrundi wa wapi....maana najua utakatalia sio Mtanzania kwa ulivyo na jazba.
 
Hoshea,

Mkuu pole sana.. Umetumia maneno meeengi, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ama kutwanga maji kwenye kinu.

Jamaa wana roho mbaya sana hawapendi tuendelee hata umwambie nn huwezi elewa wakt kila kitu kipo wazi.

Huku sisi tunamshukuru Mungu wetu muumba wa kila kitu ,tunachokijua na tusichokijua, hakika ya yeye ameondoa corona katika nchi yetu.
 
Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua???
Wamekufa wapi wewe? Corona imeshaisha, ni hao mebeberu wanaforce iwepo ili waje wauze vaccine zao
 
Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua?

Jamaa angu we si Tanzanian, tuachie maisha yetu.

Sisi tumemuomba Mungu katuondelea corona nyie mmeomba msaada wa wazungu haya endeeleni na misaada yenu.
 
Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua???
Wewe mbuzi, taarifa za watu kufa unazitolea wapi kama zimefichwa?

Kama unatafuta kampany ya basha wa kikenya angalia kwa namna nyingine, sio kupitia corona.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
wewe mbuzi, taarifa za watu kufa unazitolea wapi kama zimefichwa???

kama unatafuta kampany ya basha wa kikenya angalia kwa namna nyingine, sio kupitia corona.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Matusi ya nini ndugu yangu? Sayansi haiendani na matusi? Tatizo Lumumba mkikosa reasoning mnabaki kutukana tuu! Nina ndugu waliokuafa kwa korona na yule aliyekutwa positive na kuambiwa aende nyumbani! Pia nina jamaa na marafiki wanaongea! Sasa wewe kama huyajui haya, basi ungejitahidi kufanya utafiti kidogo, au wasiliana na madaktari husika! Nyinyi na huyo baba yenu akili zenu sijui mmezitupa wapi? Kweli unaamini Tanzania ni tofauti na nchi nyingine zote zinazoripoti kesi za korona ikiwemo majirani zetu? Pole sana.
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
Sisi na Uganda tupo wamoja sana acha uongo!! Mtanyooka tu sisi hatuna mpango kabisa na Nyang'ao hata USA hawataki wananchi wao waje kwenu na mnaendelea kufa na corona tu pamoja na karantine na lockdown zenu wakati sisi tunapiga kazi kama kawaida!! Watalii wanaendelea kuja TZ tu.... Mtanyooookaaa!!
 
Familia yako imekufa na corona?
 
Unasubiri nini kuugua nawewe[emoji38][emoji38][emoji38].

Nyumbu kabisa.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Hoshea aliyeandika hili bango ni Mrundi wa wapi....maana najua utakatalia sio Mtanzania kwa ulivyo na jazba.
Huyo nae si fara tu kama lisu, vichaa kama hawa hawakosekani, sasa linasema wanakufia hospital na majumbani pasipo kupimwa, anajuaje ni Corona imewaua, lisu linasema kuna Corona, hajawahi kuvaa barakoa, mikutano yake zero distance. Sasa hao ni watu au nyumbu.
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.

Africa Mkuu ni wamoja wote tushukuru tu madhara hayakuwa kama yalivyokuwa yakiripotiwa huko sehemu nyingine za Dunia ikiwemo bara Asia na Amerika lakini kusema eti ninyi wakenya ilipambana na ugonjwa mkiwa na rasilimali zote na mkaushinda si kweli Mkuu
 
Sisi na Uganda tupo wamoja sana acha uongo!! Mtanyooka tu sisi hatuna mpango kabisa na Nyang'ao hata USA hawataki wananchi wao waje kwenu na mnaendelea kufa na corona tu pamoja na karantine na lockdown zenu wakati sisi tunapiga kazi kama kawaida!! Watalii wanaendelea kuja TZ tu.... Mtanyooookaaa!!

Mko wamoja kiu kikudanganye uthubutu kuingia kwa kinyemela uone utakavyochezea vichura, UPDF wamewekwa mpakani kila unayeingia kwao lazima upanue mdomo utumbukizwe kifaa cha kupima corona, ila Mseveni huwa sipendi sera zake lakini kwa hili ameonyesha ni kiongozi hodari na asiyeyumbishwa.
 
Huyo nae si fara tu kama lisu, vichaa kama hawa hawakosekani, sasa linasema wanakufia hospital na majumbani pasipo kupimwa, anajuaje ni Corona imewaua, lisu linasema kuna Corona, hajawahi kuvaa barakoa, mikutano yake zero distance. Sasa hao ni watu au nyumbu

Ulivyo na hasira hutaki ukae ufkirie, umesema niulize Watanzania, huyo ni Mtanzania ametoa maoni yake ukaishia kumtukana, hiyo ndio hali ilivyo kwenu kwa sasa, yeyote anayethubutu kusema ukweli anasutwa na kufokewa.
 
Back
Top Bottom