Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Leo Wakenya wameingia barabarani wanaandama hela za corona kuliwa. Halafu wenyewe wanajisifu wanafuata sayansi na kwamba wao wameelimika.
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.

Kwa mpumbavu pekee ndiye atakayesikia maneno yako kuwa kenya inalinda watu wake. Lakini wakenya wa kweli wanakuambia viongozi wenu wanatumia hiyo kama sehemu ya kupata pesa na sehemu ya kufanya ufisad
 
Huku lazima mpimwe maana hatutaruhusu kuwatia Wakenya kwenye hatari kisa mindege, maisha yetu ni muhimu.
Na sio sisi tu, lazima mpimwe na majirani zenu wote maana mlishajichokea kwa umaskini.
 
Huku lazima mpimwe maana hatutaruhusu kuwatia Wakenya kwenye hatari kisa mindege, maisha yetu ni muhimu.
Na sio sisi tu, lazima mpimwe na majirani zenu wote maana mlishajichokea kwa umaskini.
yah, na kile tunafanya ni kuunga mkono harakati zenu.

tunaangalia na njia nyingine zaidi ambazo zinaweza waweka kwenye riski ya maambukizi zaidi nazo tunafunga, soon tutaangalia kwenye magari huko road[emoji41][emoji41][emoji41].
 
Huku lazima mpimwe maana hatutaruhusu kuwatia Wakenya kwenye hatari kisa mindege, maisha yetu ni muhimu.
Na sio sisi tu, lazima mpimwe na majirani zenu wote maana mlishajichokea kwa umaskini.
We potezea huo uwizi wa hela sababu ni wa kwenu, wakenya wenzako wanateseka.
 
yah, na kile tunafanya ni kuunga mkono harakati zenu.

tunaangalia na njia nyingine zaidi ambazo zinaweza waweka kwenye riski ya maambukizi zaidi nazo tunafunga, soon tutaangalia kwenye magari huko road[emoji41][emoji41][emoji41].

Hiyo poa ungeni juhudi mana muhimu tukaendelea kulindana, mtulinde tusiambukizwe corona na nyie tuwalinde dhidi ya ushindani, tumieni fursa hii kuamsha ndege zenu.
 
Yani mtu anakubali corona haina athari sana afrika(japokuwa hakuna maelezo yeyote ya kitaalamu yenye kueleza ni kwanini) ila mtu huyohuyo anakataa kukubali kuwa Tz hakuna corona.
 
SHukrani za dhati kwa serikali yetu kwenye hili, japo wanazingua kwenye mengine ambayo yanatia hasira ila kwa namna walivyoshughulkia huu msimamo wamenifurahisha kiaina, afya ya Wakenya ni muhimu sana kuliko mindege. Kunao Wakenya ambao hawajawahi kwenda Tanzania na hawana nia wala kutegemea kwenda huko Tanzania maishani mwao, sasa kuwaletea hii hatari kisa ndege itakua sio haki.
Hongera sana serikali, na sio kwa Tanzania tu, muonyeshe huu msimamo kwa taifa lolote lenye kiburi cha aina yoyote.....Uganda wameonyesha mfano kwa kuweka jeshi mpakani maana Museveni hana muda wa kuvuna mabua, hayuko tayari kuwarubuni raia wake
Uganda clamps down on trade at Tanzanian border - CHANNELAFRICA
 
Magafuli ana ego sana. Mambo ya cofid 19 ni rahisi sana. Tz kusema wako covid free lazima ikuwe evidence ya data. Wagapi wa pimwa na kupatikana negative au positive. New zealand singapore taiwan etc zina covid chache sana. Evidence za wale wame pimwa ziko. Hizi inchi zote bado wageni wanaitagi quarantine au covid negative certificate.
 
Mimi ni mtanzania hakika; ila ni msema kweli, siyo nyie danganya danganya tu mkifuata mawazo ya huyo kiongozi anayetupeleka gizani!
Tuliwaambia acheni kuishi kwa kutegemea ufisadi sasa mnatapatapa bila ya faida
 
Back
Top Bottom