Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Mzigo konki .
Bado wawili wafike 550[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwendo wa kupima tu mwanzo mwisho hadi kieleweke.
Screenshot_20200824-094853.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama uliona takwimu za CDC Africa; Tanzania tulishafikia hiyo namba zamaniiii! Tuendelee tu kuficha na kujiona wajanja, kumbe tunajificha nyuma ya jani!
Sasa wewe jiulize sie tulifika namba hizo kipindi kile ambacho kulikuwa na kufuata taratibu za kujikinga na corona na shughuli nyingi zilisimama,je unafikiri hiyo corona kama ipo hadi sasa hali ingetakiwa iweje ambapo maisha yamerudi kama zamani? ni wazi hali ingekuwa mbaya zaidi na athari zingeonekana.

Huko kuficha kunakozungumziwa labda iwe na maana ya kwamba tuna hivyo virusi ila havina athari,lakini sio kutuambia kwamba et tunaficha wagonjwa na vifo vya corona.
 
  • Thanks
Reactions: nao

Ndiyo tunaficha! Ni kwamba sehemu kubwa ya Afrika imeweza ku-achieve herd immunity, hivyo hata kwa wenzetu figures hazipandi sana; hiyo haimaanishi kuwa sisi hatuna cases, sema hatujui maana, kwanza hatupimi kama wenzetu, pili, wagonjwa hawapaswi kulazwa hospitali, kusudi "tusijulikane bado tuna korona", na tatu, hata mttu akifa kwa korona hakuna kusema, unaambiwa kazike maiti yako! Ndo kujificha nyuma ya jani huko, siyo kwamba sisi tuko bora kuliko wenzetu; wenzetu ni bora zaidi kwa sababu wanajua status ya nchi (pamoja na kwamba wamepiga hela!), sisi tuko gizani!
 
Wewe hao wagonjwa umewaona wapi?.

Sikiliza nikwambie rafiki yangu. Ujue huku ndani tupo watu wazima na akili zetu.
Sasa unapotaka kusema kitu lazma uangalie unasema nini.
Hayo yanatokea hospital gani hapa Tanzania

Sina muda wa kupoteza na wewe! Nenda tu hapo Amana, au ongea na daktari wahusika! Nina faida gani ya kudanganya?
 
Ndiyo tunaficha! Ni kwamba sehemu kubwa ya Afrika imeweza ku-achieve herd immunity, hivyo hata kwa wenzetu figures hazipandi sana; hiyo haimaanishi kuwa sisi hatuna cases, sema hatujui maana, kwanza hatupimi kama wenzetu, pili, wagonjwa hawapaswi kulazwa hospitali, kusudi "tusijulikane bado tuna korona", na tatu, hata mttu akifa kwa korona hakuna kusema, unaambiwa kazike maiti yako! Ndo kujificha nyuma ya jani huko, siyo kwamba sisi tuko bora kuliko wenzetu; wenzetu ni bora zaidi kwa sababu wanajua status ya nchi (pamoja na kwamba wamepiga hela!), sisi tuko gizani!
Kwahiyo tofauti kubwa kati yetu na hao wengine ni kwamba wao wanajua wangapi wamekufa kwa corona basi? nauliza hivyo kwa sababu sie tumefungua shughuli zote na watu hata nyungu wameacha tena kupiga sasa hivi wanasema corona imeisha tofauti na majirani zetu, sasa nilitegemea athari za corona zingeonekana maana kungekuwa na kasi sana ya maambukizi na hali ingekuwa mabaya zaidi.

Ila nachokiona hapa tofauti ya sisi na wenzetu ni katika kwenye kupima tu,nadhani hali ingekuwa mbaya sidhani kama serikali ingewaambiwa watu wakajiuguze nyumbani au wakazike wenyewe(kama unavyodai) ili isijulikane kama kuna corona.
 
Hivi hao wenye corona ambao wanaambiwa wakajiuguze nyumbani wanakuwa wamepimwa corona hapo hospitali au wale wenye dalili tu za corona?
 
KENYA "COVID-19 "NI FURSA KWAO! KENYA WALA RUSHWA NI WENGI MNO ...WAPO WANAOTAMANI CORONA IENDELEE KUWEPO MAANA WANAVUNA HELA NYINGI SANA KUANZIA MIKOPO YA IMF HADI WORLD BANK.

WATANZANIA WENZANGU JPM NI KICHWA. MSIMLINGANISHE NA MVUTA BHANGI WA HAPO JIRANI
 
Back
Top Bottom