Kuwauliza Watz wachache ninaowajua hakuwezi kuwakilisha watu milioni 60, maana majibu yao hayatakua na msngi wowote kisayansi kwenye hili janga la kisayansi, mlipima namba zikapandisha zaidi ya mia tano ghafla rais wenu akapata jazba kama hii unayojifanya kuwa nayo, mkasimamisha shughuli zote za kupambana na corona na kuamua kila mtu ahangaikie kwake na kuifanya siri ya ndani.
Leo hii Mtanzania kujitangaza ana corona atakashifiwa hadi ajifie, huo ni ujinga sana na sio namna kabisa ya kupambana na janga linaloitesa dunia, ilipaswa serikali iongoze kwa mbele.
Mbaya zaidi mnalazimishia muingie kwenye nchi za watu na njaa zenu hizo hamtaki mpimwe, majirani zenu wote wamekua wajasiri na hawafichi chochote, tunapimwa na kushughulkia corona bila uwoga, ona hata makamu wa rais Zambia ametangazwa kuwa na corona, nyie waoga mnapaswa mjifunze kitu
Zambia's vice president Inonge Mutukwa tests positive for COVID-19 - Citizentv.co.ke