Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

kwaivo kenya tukaacha kutangaza leo corona inaisha gafla ?? ujinga uliopo tanzania ni level nyingine kabisa
Nyie mnatia aibu kwelikweli, hivi wewe unitangazie kuwa kila siku watu 100 wanakufa kwa Covid-19 halafu mimi nije huko ili iweje??

Wenzako akina Onyango na Kahata sasa hivi wako uwanja wa Mkapa wanacheza na Vitali ya Burundi. Hakuna face mask hata moja na uwanja umejaa watu zaidi ya 50 000.

Nyie endeleeni kutangaza vifo na kupima pima pima.. Ili watalii waje🙂
 
corona ipo tanzania kama mahali pengine popote duniani na wala hamjaishinda kama wengi wenu mnavyojiaminisha., mmeamua tu kutokua wawazi
Nachojua hakuna athari za corona na ndio maana tunaishi maisha yetu yaleyale ya kawaida kabla ya corona bila tahadhari zozote za kujikinga na corona. Hakuna hali yeyote isiyo ya kikawaida kuonesha watu wanaumwa hovyo wala wingi wa vifo,kila kitu kimerudi kama kawaida nadhani kungekuwa na athari za corona basi tungeshapata mrejesho wake na isingekuwa siri maana hali ingekuwa mbaya.
 
Hawa wajinga ndo wanatafuta ligi. Ukweli ni kwamba wakiitaka hii mechi wao ndio watapoteza zaidi.
Kutoka ile siku mipaka ilifungwa, mulisema Kenya ndiyo "itaumia" saa hizi ni mwezi wa tisa unaelekea na bado hakuna msaada serikali ya KE imewaoba.

Juu wakati huu Kenya haitaki mambo ya wabongo, mumerudia ule ule msemo wenu ati ni wao "watumia".

Kwani hawa viongozi wenu wanafikiri kenya ni wajinga kiasi gani??
 
Tumefungia KQ juzi hapa mkaanza kuhororojoka kwamba hilo hamkuliona. Ukweli ni kwamba Nyang'au anamtegemea sana mbabe mbongo!!
 
Kenya kwa kulazimisha watu! Marekani alishakataa kuvisit Kenya kwenye covid ila atavisit Tanzania kama vile ambavyo list ya Mheshimiwa Trump inavyoeleza 😂 Hivi inawezekanaje umzuie Tanzania kuja kubeba Covid (which is right) halafu umlazimishe U.S kuja Kenya kufanya nini! Hesabu za wapi hizo 😂 MK254 mnafeli wapi au ndo mmechanganyikiwa na Covid yenu 😂
 
Kumbe kupandisha jazba ndo dawa ya corona.
Si mwambieni kenyataa nae apandishe jazba mpone.
Na kama kuacha kupimana corona ndo dawa si muache na nyie MPONE.
Sasa hivi tunaitafuta 600.

Na vile corona haina Kinga wala tibaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuwauliza Watz wachache ninaowajua hakuwezi kuwakilisha watu milioni 60, maana majibu yao hayatakua na msngi wowote kisayansi kwenye hili janga la kisayansi, mlipima namba zikapandisha zaidi ya mia tano ghafla rais wenu akapata jazba kama hii unayojifanya kuwa nayo, mkasimamisha shughuli zote za kupambana na corona na kuamua kila mtu ahangaikie kwake na kuifanya siri ya ndani.

Leo hii Mtanzania kujitangaza ana corona atakashifiwa hadi ajifie, huo ni ujinga sana na sio namna kabisa ya kupambana na janga linaloitesa dunia, ilipaswa serikali iongoze kwa mbele.

Mbaya zaidi mnalazimishia muingie kwenye nchi za watu na njaa zenu hizo hamtaki mpimwe, majirani zenu wote wamekua wajasiri na hawafichi chochote, tunapimwa na kushughulkia corona bila uwoga, ona hata makamu wa rais Zambia ametangazwa kuwa na corona, nyie waoga mnapaswa mjifunze kitu Zambia's vice president Inonge Mutukwa tests positive for COVID-19 - Citizentv.co.ke
Screenshot_20200823-033739.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama kuwaambia watu wakaugulie nyumbani ndo dawa ya corona na wao wakenya wawaambie raia wao wakajiuguzie majumbani kwao.
Ili wapone,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Mimi nawashangaa wanaotoa povu hapa, hivi nani anaijua status ya korona hapa nchini? Mmejifanya vichwa ngumu, hampimi, hamjaweka system yoyote inayoeleweka; wagonjwa wa korona nasikia sasa hivi wakipatikana wanaambiwa waende waugulie nyumbani, isije julikana kuna cases hospitali, wanaofariki wanazikwa tu kama kawaida na akifia hospitali unaambiwa beba maiti yako ukazike! Hata ningekuwa mimi ningewawekea pini tu! India na Urusi wanapima, na hao watakokuja watakuwa wamepimwa, hata Marekani na Brazil wanapima, waje tu! Nyinyi hamjielewi, period!

Korona ipo na watu bado wanakufa, hilo halina mjadala; kwamba kesi zimepungua na hivyo ku-achieve herd immunity nalo halina mjadala; lakini, hali halisi iko wapi? Nani anajua?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kupandisha jazba ndo dawa ya corona.

Si mwambieni kenyataa nae apandishe jazba mpone.

Na kama kuacha kupimana corona ndo dawa si muache na nyie MPONE.

Sasa hivi tunaitafuta 600.

Na vile corona haina Kinga wala tibaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1545378

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Kenyatta hawezi akapandisha jazba tukamuacha salama maana huku wengi wetu ni wasomi, tatizo la kisayansi lazima tulitatue kisayansi.
Kwenu huko uwezo wa kuhoji haupo na ndio unaona mpo 66% kwenye hii takwimu hapa.

2493310_IMG_20200821_113304.jpg
 
Mlitatue kisayansi wakati mnazidi kufa?[emoji16][emoji16][emoji16].
bora nisiwe na akili kuliko kuwa na akili nyingi kama za wakenya .mzigo unakwenda 600..
Mnawazikia kwenye makaburi gani?
Kenyatta hawezi akapandisha jazba tukamuacha salama maana huku wengi wetu ni wasomi, tatizo la kisayansi lazima tulitatue kisayansi.
Kwenu huko uwezo wa kuhoji haupo na ndio unaona mpo 66% kwenye hii takwimu hapa

2493310_IMG_20200821_113304.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mlitatue kisayansi wakati mnazidi kufa?[emoji16][emoji16][emoji16].
bora nisiwe na akili kuliko kuwa na akili nyingi kama za wakenya .mzigo unakwenda 600..
Mnawazikia kwenye makaburi gani?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Siku ukifaulu kujikomboa na kutoka kwenye hao 66% uje tujadili, endeleeni kuficha matatizo yenu, sisi tutaendelea kuyashughulkia kisayansi na haitokuja siku tupandishe jazba na kuanza kuficha.
 
Mfiche msifiche huo ugonjwa HAUTOKI. Yaani tangu mwezi wa 3 mpaka Leo tunakaribia mwezi wa 9 bado mnahangaika na njia za kisayansi tu[emoji16][emoji16][emoji16].

Mtakufaaaa Mtakufaaaa mpaka mchanganyikiwe..
Siku ukifaulu kujikomboa na kutoka kwenye hao 66% uje tujadili, endeleeni kuficha matatizo yenu, sisi tutaendelea kuyashughulkia kisayansi na haitokuja siku tupandishe jazba na kuanza kuficha.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mfiche msifiche huo ugonjwa HAUTOKI.
yaani tangu mwezi wa 3 mpaka Leo tunakaribia mwezi wa 9 bado mnahangaika na njia za kisayansi tu[emoji16][emoji16][emoji16].
Mtakufaaaa Mtakufaaaa mpaka mchanganyikiwe..

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Hata sisi tungekua na hiyo 66% ya mlivyo, mbona tungewaiga kuficha maana mpaka sasa idadi yetu inafichika, sio kama kule Afrka Kusini kwa Mandela ambapo mpaka sasa wamekufa 12,987
 
Kwa hyo maiti 540+ mnaona ndogo?
Mngezifichia wapi?..
Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 540.
[emoji16][emoji16][emoji16].
Hicho ni kitongoji kabisa

Umaskini unawasumbbua sana nyie, mkae kwenu msubiri corona iishe, jaribu kuinga Uganda, wamewawekea wanajeshi kabisa.
Corona ya Kenya na Uganda Ni ya kupiga pesa za WHO
Kama Tanzania Kuna corona pita YouTube angalia Simba day 22/08/2020
 
Kwa hyo maiti 540+ mnaona ndogo?
Mngezifichia wapi?..
Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 540.
[emoji16][emoji16][emoji16].
Hicho ni kitongoji kabisa

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Ukiwa na wajinga 66% wasio na elimu wanaounga juhudi mikono, unaweza hata ukaficha maiti 10,000 maana wote hawajafa kwa siku moja. Kwanza ukiwa na liinchi likubwa lenye watu wengi maskini na wasiokua na elimu utaficha virahisi sana. Sema kwetu huku ni balaa, asilimia kubwa wameelimika, pili tuna desturi kali ya kuhoji kila kitu, yaani ole wako uthubutu kuficha hata kifo cha mmoja.
 
Back
Top Bottom