Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Nyie wenye elimu mmefika wapi na corona?
Ukiwa na wajinga 66% wasio na elimu wanaounga juhudi mikono, unaweza hata ukaficha maiti 10,000 maana wote hawajafa kwa siku moja. Kwanza ukiwa na liinchi likubwa lenye watu wengi maskini na wasiokua na elimu utaficha virahisi sana. Sema kwetu huku ni balaa, asilimia kubwa wameelimika, pili tuna desturi kali ya kuhoji kila kitu, yaani ole wako uthubutu kuficha hata kifo cha mmoja.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
Kwenye mji ninaoishi Mimi Ni miezi 4 sasa sijasikia mtu anaumwa korona Wala kafa kwa korona

Hii gemu ya kiakili

Nyie endeleeni kufanya hayo ya wazungu

Watu Wana ajenda za kibiashara
 
kwaivo kenya tukaacha kutangaza leo corona inaisha gafla ?? ujinga uliopo tanzania ni level nyingine kabisa
Covid 19 doesn't function any more in Tanzania huo ukweli hats nyinyi mmesha ujua na mabeberu wamejua sema mnaona aibu kukubali tu
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
Kumbe wewe bado mzima? I hope hapo ulipo barakoa ipo usoni.

Aisee kuwa makini

Hahaha...!
 
542 DEATHS.
mbona nyie HAMUHOJI KWANINI MNAKUFAA KAMA KUKU
CCM hufaidika sana kuongoza nchi imejaa wajinga kama nyinyi....mko so illiterate hadi vitu zingine hamuezi kuhoji, ni kusifia tu ujinga.sasa naelewa kwanini mwalimu nyerere alisema ujinga ndo adui mkubwa kwa tanzania
Screenshot_20200823-033739.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ukipewa mademu wawili ugegede, mmoja amepima UKIMWI na anatumia ARV kwa kuzingatia ratiba ipasavyo na anafuatilia kupima kila baada ya muda, ila wa pili anakuambia yeye anajua hana UKIMWI na hataki kupima wala nini anakuambia alipima siku ya kwanza akagundua ana UKIMWI ila sasa anajua aliponywa na Mungu na wala usimtajie mambo ya UKIMWI, yupi kati ya hao hautaona tabu ukimkaribisha kwako.
Nyie kwa sasa mnatengwa na dunia maana mumejichokea mumeshindwa kabisa kitaalamu, kisayansi, kiufundi, kidiplomasia n.k.
huo mfano wako haufanyi kazi kiuhalisia labda ndotoni.

maana thana ya kuvaa condom na kujamiiana na mtu usiyejua afya yake inakupa amani sababu huna uhakika tu, ila unajipa hope kwamba huyu ni mzima but sijui, ila ukihakikishiwa ni mgonjwa humgusi hata kwa condom ya bati.

kuhusu hili la corona ni case tofauti, ni ugonjwa wa mlipuko ukiupata ni tabu na maafa.
 
Wakenya wanaofanya kazi Tanzania mjiandae, muda wa vibali ukiisha hautaongezwa.
 
huo mfano wako haufanyi kazi kiuhalisia labda ndotoni.

maana thana ya kuvaa condom na kujamiiana na mtu usiyejua afya yake inakupa amani sababu huna uhakika tu, ila unajipa hope kwamba huyu ni mzima but sijui, ila ukihakikishiwa ni mgonjwa humgusi hata kwa condom ya bati.

kuhusu hili la corona ni case tofauti, ni ugonjwa wa mlipuko ukiupata ni tabu na maafa.

Ndio mfano halisi na hali ilivyo, mataifa tunayoyakaribisha tunaona kwao ilivyo, wanapima corona na kupambana, ila taifa ambalo tumezuia ni aina ya waliogundua siku ya kwanza wana corona, namba zikapandisha ghafla na kufika 504 hiyo siku siku mkulu wao akawa mkali wakaacha kupima tena na kujiaminisha wamepona.
Sasa wa aina hiyo lazima watengwe na dunia.
 
Ndio mfano halisi na hali ilivyo, mataifa tunayoyakaribisha tunaona kwao ilivyo, wanapima corona na kupambana, ila taifa ambalo tumezuia ni aina ya waliogundua siku ya kwanza wana corona, namba zikapandisha ghafla na kufika 504 hiyo siku siku mkulu wao akawa mkali wakaacha kupima tena na kujiaminisha wamepona.
Sasa wa aina hiyo lazima watengwe na dunia.
twende tu mtauanika unafiki wenu siku si nyingi.

si unajua tumewashika kengere zenu kwa chini huku!!!

kwa maelezo yako [emoji630] china inafit wapi hapo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama unakubali kuwa corona haina athari sana kwa waafrika na hujui sababu ni nini sasa kinachokufanya ukatae kuwa Tanzania hakuna corona ni nini?
 
twende tu mtauanika unafiki wenu siku si nyingi.

si unajua tumewashika kengere zenu kwa chini huku!!!

kwa maelezo yako [emoji630] china inafit wapi hapo[emoji38][emoji38][emoji38]

Kwanza Wachina ilipaswa tuwakaribishe sana maana wapo makini sana hata kuzidi Wamarekani. Lkini nyie wazee wa kujichokea mtasubiri sana, mnafungiwa na hata na viinchi maskini zaidi yenu huko kusini.
 
Kwahiyo nyie Kenya ndo mnathamini sana watu wenu, juzi tu hapa watu wamekula pesa za msaada wa Vifaa Tiba vya Corona, sasa hapo una thamini nini[emoji23][emoji23][emoji23]

This time we will surely show you who holds the hoe handle
The only hoe handle you hold is your illiteracy ,ignorance and poverty.
 
Haya hizi hapa taarifa za mwezi huu huu, yaani Museveni kiboko, ndiye kiongozi wa kweli anayefanya maamuzi magumu bila kupepesa macho, ameweka jeshi (army - UPDF) kabisa dhidi ya Watanzania wenye njaa kali mnaong'ang'ania kuingia kwake. Kimsingi mnatengwa na kila jirani, hatuhoji nyie kujichokea kwa vita dhidi ya corona ila tunasema mbaki huko huko mkitaka mjifie na kuacha kutusumbua.

Kila anayeshindwa kuvumilia njaa na kuvuka mpaka, basi awe tayari kupanua mdomo atumbukizwe kifaa cha kupima corona, ila wengi wanaopimwa wanakutwa nacho, yaani mnaogelea kwa kirusi na ndio mlishatelekezwa, kila mmoja anahangaika na kuifanya siri ya ndani, leo hii hakuna Mtanzania anayeweza kuthubutu kujitokeza atangaze kwamba anaumwa corona, atatukanwa sana na kufokewa nchi yote.

18:54 5 Aug BBC
Uganda clamps down on trade at Tanzanian border
c55fc2c0-698f-421c-9490-5287ed0f17ae.jpg

Russell Padmore
Business correspondent, BBC News
View attachment 1544496
Getty Images

Ugandans have been told to wear masks in public places but Tanzanians have not
Uganda is clamping down on informal cross border trade with Tanzania and the unregulated movement of people between the countries, to prevent the spread of coronavirus, in a region where cases of infection have increased.

People living in the Rakai District of Uganda and Missenyi in Tanzania tend to ignore border regulations because they live as one community, with families having relatives on both sides.

Cross border trade and travel is centred on the town of Mutukula, but people also use unregulated roads, which makes the movement of goods and people between both countries hard to monitor.

Some 20 people have recently tested positive for Covid-19 in the region on the Uganda side, after returning from Tanzania.
Now, in order to ensure trade continues, while limiting new cases of infection, the authorities in Uganda's Rakai district have banned cross border travel, unless it is for business.

The clamp down is being enforced by the Ugandan army, with soldiers ensuring residents in the region comply with the directive.
It could raise tensions between the two East African nations and it is not clear how Tanzania will respond.

This week it banned flights from Kenya, after the government in Nairobi deemed measures taken by its neighbour to cope with the pandemic were insufficient.
Soma tena hiyo habari ya BBC uniambie umeona wapi kitu kinaitwa UPDF au kitu kinaitwa kuzuia watanzania kuingia. Au hauelewi maana ya unregulated cross border movement? Hii hata bila corona hairuhusiwi.
 
..soma tena hiyo habari ya BBC uniambie umeona wapi kitu kinaitwa UPDF au kitu kinaitwa kuzuia watanzania kuingia. Au hauelewi maana ya unregulated cross border movement? Hii hata bila corona hairuhusiwi

Hivi mbona mnatumia nguvu nyingi kupaka hizi taarifa sukari na kupindisha pindisha, hayo makala ya BBC yanasema "Ugandan army", hivi kuna "Ugandan army" nyingine isiyo UPDF.

Pili, hamna sehemu nimesema hilo jeshi lipo kwa ajili ya kuzuia Watanzania, ila ni wale hupenda kuingia kinyemela bila kufuata taratibu. Mnapaswa mfahamu corona imebadilisha mambo mengi yanafanyika isivyo kawaida, sio kawaida kwa taifa lisilo na uadui wowote kuweka jeshi mpakani, hiyo kazi ilipaswa polisi, lakini inaonekana mumewazidi ujanja polisi wao.

Uganda walifanya kazi kubwa sana ya kupambana na hiki kirusi, wao walikwenda lockdown ya kufungia kila kitu maana kwamba waliumia kupita maelezo, ndio maana hawapo tayari kurudishwa nyuma na yeyote hata kama unakuja huku ukiwashobokea na kuwaita ndugu, lazima wakupime na hapo wamehusisha jeshi kabisa ili kuonyesha wako serious.
 
Nadhani wanaangalia kwenye COVID 19 kwa wingi ndio waje kwao lengo ni kuwa na waathirika wengi kwa ajili kupata huruma toka juu.

Ni mahesabu tu wanacheza nayo tutegemee by Dec 2020 namba ya wagonjwa ita skyrocket.

Au wanalena kupunguza bajeti kwa wengi wao kufariki bila kufa. Depopulation trick
 
Back
Top Bottom