Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Nachosema thubutu kuvuka kinyemela, kuna watu wanaitwa UPDF pale, unarushwa kichura, lazima mpanue midomo, sijui kwanini hamvumilii kwenu na njaa zenu hizo mnalazimishia kuingia kwenye nchi za watu.
Tuje kutafuta nini uko akati uhuru tuliwapa sisi.
 
Mko wamoja kiu kikudanganye uthubutu kuingia kwa kinyemela uone utakavyochezea vichura, UPDF wamewekwa mpakani kila unayeingia kwao lazima upanue mdomo utumbukizwe kifaa cha kupima corona, ila Mseveni huwa sipendi sera zake lakini kwa hili ameonyesha ni kiongozi hodari na asiyeyumbishwa.
Master of information spin, tangu lini UPDF ikawa mpakani? Nadhani hujui masuala ya international relations, nchi moja ikiweka Askari mpakani ni sawa na kutangaza Vita na nchi inayopatikana nayo...unless kuwe na mawasiliano na maelewano, stupid.
 
Master of information spin...tangu lini UPDF ikawa mpakani? Nadhani hujui masuala ya international relations...nchi moja ikiweka Askari mpakani ni sawa na kutangaza Vita na nchi inayopatikana nayo...unless kuwe na mawasiliano na maelewano....stupid

Tatizo wakazi wa Buza huwa hamtoki, mnategemea hadithi za vijiweni tu na kuja kuandika andika humu. Uganda wameweka jeshi la UPDF mpakani ili kuwakamata Watanzania wenye njaa kali wanaong'ang'ania kuingia kwao, soma hizi taarifa hapa, na kama unajua kingereza au utafute mtu akutafsirie hii " task force has received reinforcements from UPDF Armored Brigade-Masaka to intensify day and night patrols across porous borders to arrest the intruders from Tanzania. "
Five Tanzanians arrested for violating COVID-19 guidelines in Rakai
 
Watz bana, kama hamtaki kupimwa na hamtaki kuwekwa karantini pia, si mbaki huko huko kwenu Kolomije. Simple!
Kenya mnachotaka kwetu hakijulikani. Ambao wana cases nyingi za Corona mnawaruhusu. Ambao wana cases kidogo mnawaruhusu. Je, mnataka tukipima iwasaidie nini?

Inahitaji akili ndogo tu kujua kwamba tatizo sio Corona. Mnatimiza masharti ya kupewa mkopo, na hili litawaaibisha miaka mingi sana ijayo! Kama ambavyo bado mnaaibika tunapozungumzia ukombozi wa nchi za Africa. God bless Tanzania
 
Nachosema thubutu kuvuka kinyemela, kuna watu wanaitwa UPDF pale, unarushwa kichura, lazima mpanue midomo, sijui kwanini hamvumilii kwenu na njaa zenu hizo mnalazimishia kuingia kwenye nchi za watu.
Ongea vitu current acha kuleta habari za May. As of now hakuna chochote mpakani mwa tanzania na Uganda. We are friends na usijaribu kuhamisha chuki.
 
Ongea vitu current acha kuleta habari za May. As of now hakuna chochote mpakani mwa tanzania na Uganda. We are friends na usijaribu kuhamisha chuki

Haya hizi hapa taarifa za mwezi huu huu, yaani Museveni kiboko, ndiye kiongozi wa kweli anayefanya maamuzi magumu bila kupepesa macho, ameweka jeshi (army - UPDF) kabisa dhidi ya Watanzania wenye njaa kali mnaong'ang'ania kuingia kwake. Kimsingi mnatengwa na kila jirani, hatuhoji nyie kujichokea kwa vita dhidi ya corona ila tunasema mbaki huko huko mkitaka mjifie na kuacha kutusumbua.
Kila anayeshindwa kuvumilia njaa na kuvuka mpaka, basi awe tayari kupanua mdomo atumbukizwe kifaa cha kupima corona, ila wengi wanaopimwa wanakutwa nacho, yaani mnaogelea kwa kirusi na ndio mlishatelekezwa, kila mmoja anahangaika na kuifanya siri ya ndani, leo hii hakuna Mtanzania anayeweza kuthubutu kujitokeza atangaze kwamba anaumwa corona, atatukanwa sana na kufokewa nchi yote.

18:54 5 Aug BBC
Uganda clamps down on trade at Tanzanian border
Ugandan hawker

Getty Images
Ugandans have been told to wear masks in public places but Tanzanians have not

Uganda is clamping down on informal cross border trade with Tanzania and the unregulated movement of people between the countries, to prevent the spread of coronavirus, in a region where cases of infection have increased.

People living in the Rakai District of Uganda and Missenyi in Tanzania tend to ignore border regulations because they live as one community, with families having relatives on both sides.

Cross border trade and travel is centred on the town of Mutukula, but people also use unregulated roads, which makes the movement of goods and people between both countries hard to monitor.

Some 20 people have recently tested positive for Covid-19 in the region on the Uganda side, after returning from Tanzania.
Now, in order to ensure trade continues, while limiting new cases of infection, the authorities in Uganda's Rakai district have banned cross border travel, unless it is for business.

The clamp down is being enforced by the Ugandan army, with soldiers ensuring residents in the region comply with the directive.
It could raise tensions between the two East African nations and it is not clear how Tanzania will respond.

This week it banned flights from Kenya, after the government in Nairobi deemed measures taken by its neighbour to cope with the pandemic were insufficient.

Uganda - BBC News
 
Muwe kimya kwa majirani zenu wote maana mumetengwa, Uganda kawawekea wanajeshi kabisa, Rwanda ndio naskia hamtakiwi kabisa, na ndio taswira kote hadi Zambia, Malawi, Msumbiji.

Burundi walijifanya kuwaiga wakapoteza rais.
Ujinga wa kuji incline kwenye hearsay hao wote tunatrade nao na hivi navyozungumza na wewe jamaa zangu watatu wapo kwenye hizo nchi kupeleka mzigo kutoka bandari ya salama. Nyinyi mnahororojoka humu watu wenu wanakufa njaa na umasikini mwingi. Lisheni watu wenu acheni kujipendekeza kwa mabeberu. Beberu ukijipendekeza linakufanya tu.
 
Tatizo wakazi wa Buza huwa hamtoki, mnategemea hadithi za vijiweni tu na kuja kuandika andika humu.....Uganda wameweka jeshi la UPDF mpakani ili kuwakamata Watanzania wenye njaa kali wanaong'ang'ania kuingia kwao, soma hizi taarifa hapa, na kama unajua kingereza au utafute mtu akutafsirie hii " task force has received reinforcements from UPDF Armored Brigade-Masaka to intensify day and night patrols across porous borders to arrest the intruders from Tanzania. "
Five Tanzanians arrested for violating COVID-19 guidelines in Rakai
Ipo siku for sure utakuja kamatwa kwa uzushi na uchonganishi wako. This world has become a small village due to advancement and revolution in communication technology...this is no more a hiding place for rumour mongers like you.
 
Tatizo wakazi wa Buza huwa hamtoki, mnategemea hadithi za vijiweni tu na kuja kuandika andika humu.....Uganda wameweka jeshi la UPDF mpakani ili kuwakamata Watanzania wenye njaa kali wanaong'ang'ania kuingia kwao, soma hizi taarifa hapa, na kama unajua kingereza au utafute mtu akutafsirie hii " task force has received reinforcements from UPDF Armored Brigade-Masaka to intensify day and night patrols across porous borders to arrest the intruders from Tanzania. "
Five Tanzanians arrested for violating COVID-19 guidelines in Rakai
Such a story can be written by anybody who is paid to spread rumours. Mwanzoni tulisoma kuwa Tanzania kuna mass Graves. Walipiga picha makaburi ya kinondoni wakaandika kuwa ni ya waliokufa kwa Corona. Wakawahoji madaktari fake waliojiita ni wa Muhimbili lakini hiyo haikusaidia kitu. Sasa unasema UPDF iko mpakani mwa Tanzania. Huwezi kutofautisha Kati ya polisi na UPDF
 
Ujinga wa kuji incline kwenye hearsay hao wote tunatrade nao na hivi navyozungumza na wewe jamaa zangu watatu wapo kwenye hizo nchi kupeleka mzigo kutoka bandari ya salama. Nyinyi mnahororojoka humu watu wenu wanakufa njaa na umasikini mwingi. Lisheni watu wenu acheni kujipendekeza kwa mabeberu. Beberu ukijipendekeza linakufanya tu.

Hakuna anayezuiwa kutrade, hata sisi tunafanya nanyi biashara ila kwa wale wanafuata masharti yetu ya kupanua midomo mpimwe, na ndio ilivyo kote hata Uganda.
 
Analogia Malenga,

Wenzetu hapo wame target UTALII ili wapate pesa. Utaona Nchi nyingi hapo ni zile zinazoonekana zinaweza kuleta watalii kenya.
Hii ya kutembeleana itakuwa resolved kwa Kuwa Kenya inaitegemea Tanzania kuliko Tanzania kuitegemea Kenya.

Wakenya kwa maelf wapo TZ wanafanya kazi na Biashara; NAMAANISHA, Wakenya wanategemea Tanzania kiasi kikubwa kwa Chakula na Biashara

Hata Hivyo TZ inategemea kenya kama soko la mazao ya kilimo
ILA kwa ujirani mwema ni vizuri kuresolve na sio kutafuta mshindi
 
Wenzetu hapo wame target UTALII ili wapate pesa. Utaona Nchi nyingi hapo ni zile zinazoonekana zinaweza kuleta watalii kenya.

Hii ya kutembeleana itakuwa resolved kwa Kuwa Kenya inaitegemea Tanzania kuliko Tanzania kuitegemea Kenya. Wakenya kwa maelf wapo TZ wanafanya kazi na Biashara; NAMAANISHA, Wakenya wanategemea Tanzania kiasi kikubwa kwa Chakula na Biashara.

Hata Hivyo TZ inategemea kenya kama soko la mazao ya kilimo. ILA kwa ujirani mwema ni vizuri kuresolve na sio kutafuta mshindi
Hawa wajinga ndo wanatafuta ligi. Ukweli ni kwamba wakiitaka hii mechi wao ndio watapoteza zaidi.
 
Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini.

Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini.

Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti ya kukaa karantini ni India ambayo ni ya tatu kwa wingi wa maambukizi ya #COVID19 na Urusi ambaye ni ya nne kwa maambukizi.

====

Hivi kuna mtalii mwenye akili timamu ataacha kwenda TZ kwenye usalama na bila Corona aende Kenya ambako kila siku wanatangaza New cases na vifo vya Corona?

Saikolojia ya binadamu yeyote huwa ni kuchagua usalama wake zaidi. Hiyo mambo ya kupima pima pima na kutangaza namba mpya za maambukizi kila siku ndio kitanzi cha hao jirani.
 
Hivi kuna mtalii mwenye akili timamu ataacha kwenda TZ kwenye usalama na bila Corona aende Kenya ambako kila siku wanatangaza New cases na vifo vya Corona?

Saikolojia ya binadamu yeyote huwa ni kuchagua usalama wake zaidi. Hiyo mambo ya kupima pima pima na kutangaza namba mpya za maambukizi kila siku ndio kitanzi cha hao jirani...
kwaivo kenya tukaacha kutangaza leo corona inaisha gafla ?? ujinga uliopo tanzania ni level nyingine kabisa
 
Back
Top Bottom