Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mbona hiyo ilishajibiwa siku!Bongo wakijbu hii tit for tat wanadai Magu ana kiburi
Una majibu yake mkuu?Mbona hiyo ilishajibiwa siku!
LAZIMA TUTAHESHIMIANA TU, KAMA NI KORONA, SI KILA MTU ALICHUKUA UAMUZI WAKE? AU BONGO KUINGIA UCHUMI WA KATI? LABDA WAMUULIZE MSEMAJI WAO ALIYEPO TANZANIA, SI ANAGOMBEA URAISI.Hili bifu kila siku linachukua sura mpya.
Wakenya wengi maombi yao ya kufanya kazi Tz.
yamekuwa Rejected.
Muda utasema!
Mungu anawaonaSindano imewaingia wanatapatapa
Bongo wakijbu hii tit for tat wanadai Magu ana kiburi
Inamaana Kenya ni Tanzania na Tanzania ni Kenya. Hatuna mipaka ha ha haAha haa! Hii ina maanisha nini?