permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tofautisha watu wanaoajiriwa kama wataalamu na wahamiaji haramu wanaomiliki hadi mashamba huku wakiwa wamejipenyeza kila mahali Serekalini.View attachment 3206914
Huyu Hapo kaajiriwa tena huko huko Rwanda mnakoloa mkipasikia tu.
Wabongo wameajiriwa hadi CIA ndo sembuse kwenye hivyo vinchi vya hovyo?
Trump kamchagua Patel mwenye asili ya India kuwa director of FBI.
Mtu kuwa na asili ya nchi fulani hakukufanyi wewe kuwa mhamiaji haramu au less of a citizen.
Unaweza taja mnyarwanda mmoja tu aliyeajairiwa TZ serikalini? CDF wenu hajataja hadi Leo.
Wabongo wengi hamjui sheria na hamna exposure zaidi ya story za vijiweni.