Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanganyika sio wanyonge sema hatutaki wahamiaji haramu kwenye nchi yetuHaya mimi ni mrwanda what can you do nyie mitanganyika minyonge?
Nionyeshe hiyo comment inayosema warundi au wacongo wanahatarisha usalama wa taifa?
Mitanganyika, kama huyu mleta uzi, huwa inalalamika kuhusu warwanda na wakenya tu ila sio nchi zingine. Hizi nyuzi zipo kibao humu na story mitaani zinazunguka kila mtu anazijua.
Kila mtu anajua wabongo ni wanyonge kwa wakenya na warwanda ni unyonge mliojijengea na kujiona dhaifu ndo maana mnawaogopa na kuona wanahatarisha usalama wenu bila sababu yeyote ile ya msingi.
Watanganyika sio wanyonge sema hatutaki wahamiaji haramu kwenye nchi yetu
Unajiuliza kwanini Rwanda na sio nchi nyingne ni kwasabab Rwanda under Kagame kipindi cha kikwete alisema ipo siku ataipiga Tz kwahyo lazima tuwe waangalifu na watu wanaokuja hapa.
Halafu kwenye nchi yao wenyewe wao makabila yako mawili makubwa ila wanashindwa kuishi pamoja halafu ndo waje kuzaliana hapa wawe ndo kabila kubwa lazima watatusumbua tu na ideology zao za kushindwa kuishi na watu wamakabila mengine
Ngoja waweke mapandikizi jeshini miaka 50 ijayo ndo utajua
Hao watakuwa ndo wanyarwanda wenyewe wanajipa kiki yaani wao wenyewe hawajiwezi eti waipige tz? HowYou sound defeated mentally already sababu ya unyonge wenu.
Rwanda yenye population ya 10M wawazidi watanzania mliopo zaidi ya 60M? Hata nchi yao nzima ihamie bongo haiwezi wazidi watanganyika kwa idadi.
Wakati wanazaliana nyie mtafunga vizazi hadi wawazidi?
Rwanda yenye uchumi mdogo, population ndogo, ardhi finyu, a landlocked locked country iweze kuipiga TZ na nyie mnatishika? You jut proved my point mitanganyika ni minyonge mnahofia nchi ambayo haipo on your level even remotely.
Kwani Kuna ugumu Gani wa kufata taratibu za kuwa hapa Tanzania ili watambulike wapo Kwa lengo Gani, wapo wapi, shughuli Gani?ngara23 mmeshindwa kupambana na hao waarabu wanaopewa mirija ya kulamba asali ya raslimali zetu, mnahangaika na hao vibarua wa Burundi na Rwanda wanaokuja kujitafutia chakula kwa ajili ya survival? Listen, muingiliano wa warundi/wanyarwanda na nchi yetu ni mkubwa. Tuwekeni utaratibu wa hao wahamiaji kuingia kwa njia sahihi. Watambuliwe, walipe kodi na wasihatarishe usalama wa raia wetu. Bottomline Wacha watu watafute maisha. Na watu wetu wakitaka nao waende kwingine wakapambane. Huwezi zuia watu watafute maisha. Ni hulka ya mwanadamu.
Pia tukubali, watu wetu wengi ni wazembe na siyo waaminifu kwenye majukumu. Kibarua wa Burundi, Malawi, Kenya au Rwanda, Huwezi mlinganisha na vijana wetu.
Of course hawawez kuanzisha vita na wakashinda hata yeye analijua ilo 😀You sound defeated mentally already sababu ya unyonge wenu.
Rwanda yenye population ya 10M wawazidi watanzania mliopo zaidi ya 60M? Hata nchi yao nzima ihamie bongo haiwezi wazidi watanganyika kwa idadi.
Wakati wanazaliana nyie mtafunga vizazi hadi wawazidi?
Rwanda yenye uchumi mdogo, population ndogo, ardhi finyu, a landlocked locked country iweze kuipiga TZ na nyie mnatishika? You jut proved my point mitanganyika ni minyonge mnahofia nchi ambayo haipo on your level even remotely.
Hivi Kuna ugumu gani wa kufata taratibuYou sound defeated mentally already sababu ya unyonge wenu.
Rwanda yenye population ya 10M wawazidi watanzania mliopo zaidi ya 60M? Hata nchi yao nzima ihamie bongo haiwezi wazidi watanganyika kwa idadi.
Wakati wanazaliana nyie mtafunga vizazi hadi wawazidi?
Rwanda yenye uchumi mdogo, population ndogo, ardhi finyu, a landlocked locked country iweze kuipiga TZ na nyie mnatishika? You jut proved my point mitanganyika ni minyonge mnahofia nchi ambayo haipo on your level even remotely.
Miaka 50 ijayo makabila yatakuwa yameshafutika due to intermarriage na hata huko rwanda kwenyewe ukabila utakuwa ushaishaNgoja waweke mapandikizi jeshini miaka 50 ijayo ndo utajua
Hayo magaidi inafaa yakamatwe yarudishwe RwandaZamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.
Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.
Wanyarwanda sio wageni wazuri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,
kila siku serikali za Congo, Burundi Uganda na Msumbiji zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Acha iendelee hivi ili CCM ije ife huko mbeleni
Acha ukuda, mbona sisi Wabongo wengine tunaishi nchi za watu almost three decades now na hatufanyiwi ukuda. Ndiyo maana huwa nawakubali sana West Africans hawana ushamba wa kuwekeana kauzibe, people do migrate na hilo halitakuja kuzuilika kamwe. Bongo kuna Wanyarwanda, Warundi, Wasomali, Wakongo, Wakenya, Waganda, Wanalawi, Wazambia na Wa-Msumbiji mpaka serikali na wengine walikuwa viongozi wakubwa kabisa ila hiyo ipo kwa nchi zote si TZ peke yake.Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.
Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.
Wanyarwanda sio wageni wazuri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,
kila siku serikali za Congo, Burundi Uganda na Msumbiji zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Taratibu zipo za kuishi kwenye nchi ya kigeniAcha ukuda, mbona sisi Wabongo wengine tunaishi nchi za watu almost three decades now na hatufanyiwi ukuda. Ndiyo maana huwa nawakubali sana West Africans hawana ushamba wa kuwekeana kauzibe, people do migrate na hilo halitakuja kuzuilika kamwe. Bongo kuna Wanyarwanda, Warundi, Wakongo, Wakenya, Waganda, Wanalawi, Wazambia na Wa-Msumbiji mpaka serikali na wengine walikuwa viongozi wakubwa kabisa ila hiyo ipo kwa nchi zote si TZ peke yake.
Jiwe mwenyewe wazazi wake ni wahamiaji kutoka Burundi, late Chiluba alikuwa Mkongo, Kaunda Mmalawi. It's not even a big deal unless mtu awe amebaniwa au amezidiwa kwenye issues aingize chuki kwa wahamiaji wote. Tunabanana na Wazungu huku lakini pia kuna individuals wanaokuwa na chuki wanaona tunawabania.Babake na Nyerere alikua mrundi ndio maana Nyerere alikataliwa kushuruhisha vita ya mauaji ya Rwanda
Ambao hawafuata utaratibu peleka taarifa uhamiaji, sisi Waafrika tuna shida ya kuchukiana wenyewe kwa wenyewe hata SA iko hivyo. Wanaingia Wahindi kinyemela na huwa wanafichwa kwenye 'magodauni' wanaishi huko huku wakifanya kazi viwandani mpaka wakijua Kiswahili cha kuungaunga ndiyo wanatafutiwa nyumba but nobody cares ila Waafrika tunakuwa na husda sana.Taratibu zipo za kuishi kwenye nchi ya kigeni
Kwanini uzamie
Nani atajua Nia yako?
Kwani ni vibaya kuwaondoa wahamiaji haramu nchini ambao hawana vigezo vya kuishi .. Kama Trump anapambana na wahamiaji haramu kutoka Mexico mpaka kufikia hatua ya kujenga uzio mrefu kwa ajili ya kuzuia wasizamie Marekeni, Je Trump ni mnyonge au Marekani ni taifa la kinyonge?Haya mimi ni mrwanda what can you do nyie mitanganyika minyonge?