MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Punguza kiherehere.... utauponzaWe mrembo una mimba changa?
Alienda huko Marekani bila vibali.?
Kwaiyo kwako kuwa na roho nzuri ni kuruhusu raia wa kigeni kuingia nchini bila passport au vibali.