IDF ni wastaarabu, wanyenyekevu, wana utu na upendo wa hali ya juu. Hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema kabisa kuhusu ratiba ya kazi.Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga....
Hapana mkuu wanapiga vibaya mno mpaka sasa raia zaidi ya 200 wamekufa, sema tu Iran sio wepesi ndio maana baba mtu kaona aingie Mwenyewe, maana mwanae akipiga nae anapigwa za chembe.IDF ni wastaarabu na wana utu, hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema.
Watakaosubiri kushushiwa moto wametaka wenyewe
Huo ustaarabu sitaki.IDF ni wastaarabu na wana utu, hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema.
Watakaosubiri kushushiwa moto wametaka wenyewe
Israel washenzi sana wanakwambia tunakuja kukupiga na wanakuja kweli. Halafu unabaki kukodoa macho huna uwezo wa kuwazuia.Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga....
Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT)
An evacuation has been issued to the people of Tehran by the IDF following multiple Iranian attacks on Tuesday night.
"Dear citizens, for your safety and health, we ask that you immediately leave the designated area in District 18 of Tehran," the IDF Farsi spokesperson wrote on X/Twitter.
The military later announced it had begun conducting strikes in the area.
Iranian reports indicated that the IDF was targeting a missile manufacturing facility located in Hojir, near Tehran.
According to reports, the IDF had already bombed the facility in Hojir last October.
Early Wednesday morning, Iranian media also reported that Israel was striking Imam Hossein University in eastern Tehran, which has been linked to Iran's Revolutionary Guards.
IDF instructs Tehran residents to evacuate area before striking | The Jerusalem Post
The military later announced it had begun conducting strikes in the area.www.jpost.com
Israel washenzi sana wanakwambia tunakuja kukupiga na wanakuja kweli. Halafu unabaki kukodoa macho huna uwezo wa kuwazuia.
Taifa kubwa kama Iran ndo la kuambiwa hivyo na kainchi kama Israel!
Kweli Mungu akunyime vyote akupe akili.
ngoja tusubiri muda uongee ndo tutaamini kama ni propaganda ama ni halisiAmebaki kucheza vita ya propaganda kama bwana ake Marekani huku akizuia Raia wake kupiga picha machine zikitua Tel Aviv.
Wanajarbu kuleta promo ya silaha wakati kila mtu anaona si Iron Dome,Thaad Wala upuuzi mwingine hamna kitu.
Tupo hapa,waluchotarajia siyo wanachokiona
Wewe kisimi jeuri unataka watu wote wafe kwani wewe utaishi milele?Huo ustaarabu sitaki.
Nataka waue wote pale .
Yote ni magaidi
Jinga sana weyeIsrael kweli ni taifa takatifu.
Hawataki kumwaga damu za raia pasipo sababu.
God bless Israel 🇮🇱
Wana utu?IDF ni wastaarabu, wanyenyekevu, wana utu na upendo wa hali ya juu. Hawataki kubutua raia wala hawataki kushtukiza, wanatoa taarifa mapema kabisa kuhusu ratiba ya kazi.
Watakaosubiri kushushiwa moto wameutaka wenyewe
Sasa kama Iran uwezo wa kurusha mapipa yake umepungua kwa 90% tufanyaje? Na ndege za abiria zishaanza kutua na kutoka Ben GurionWrite your reply...sasa ni habari za upande mmoja tu. Za kule israel kumewekwa pazia
Naam,Wana utu?
Lakini mkuu hivi inakuwaje jamaa anaua viongozi wako kama anavyotaka bado unamuona hana uwezo?ameua mkuu wako wa majeshi,ukachagua mwingine naye amemuua tena kwa makombola !!Ndio maana hata trump amesema wanafahamu hata kiongozi wao mkuu alipojificha ila kwa sasa hawataki auawe!!lakini ilani yeye anajipigia tu litakapodondokea ndio hapo hapoAmebaki kucheza vita ya propaganda kama bwana ake Marekani huku akizuia Raia wake kupiga picha machine zikitua Tel Aviv.
Wanajarbu kuleta promo ya silaha wakati kila mtu anaona si Iron Dome,Thaad Wala upuuzi mwingine hamna kitu.
Tupo hapa,waluchotarajia siyo wanachokiona