Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

Iran anapiga "ana ana ana doo ....".
 
Israel kweli ni taifa takatifu.
Hawataki kumwaga damu za raia pasipo sababu.

God bless Israel 🇮🇱
Kweli kabisa, kwa mfano pale Gaza wamepiga kuku 30, mbuzi 17, bata 22 tu na raia mmoja kajeruhiwa , hasa wanaogopa kupiga watoto na wanawake..
 
We nyang'au Anza na Al shabab wanao watandika kama wanawake kwanza.
" Ruto must go"🤣
 
Wewe kisimi jeuri unataka watu wote wafe kwani wewe utaishi milele?
Wafe Hawans faida tumewachoka.

Kila siku ira Iran ugaidi ugaidi kama hawawezi kuishi na wenzao vzr Bora wawahishwe wakale mabikira 72
 
Kwani Tehran ndio mgogoro wao,? ukiwaambia watu waondoke lazima uwaambie wanaenda wapi.

Wao wanarusha mabomu nchi nzima halafu wanasema onfokeni tehran, wapi salama?
 
Ni swala la muda tu magaidi yote yatatoweka kwenye hili jukwaa au ili yabaki itabidi yabadili IDs kwa sababu kila uchao Iran maji yanazidi kuongezeka na sio muda mrefu wataanza kuyanywa.

Usiku wote amerusha kombora mbili tu na zimepanguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…