Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 4,042 Reaction score 6,854 May 13, 2025 #1 Hivyo ndivyo tutakuwa na amani. Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali. Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi. Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
Hivyo ndivyo tutakuwa na amani. Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali. Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi. Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,350 Reaction score 25,870 May 13, 2025 #2 NRNE
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 13, 2025 #3 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw