Kwa kosa lipi? Kwani hapa kwetu kukoje?Raila Odinga is the next General Joseph Konyi, Jean Bosco Ntaganda and General Laurent Nkunda. Ataishia kusakwa na ICC. Mark my words.
Ametoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya
- Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye ushirikiano na serikali
- Wasitambue uongozi utakaopitishwa siku ya kesho tarehe 26, hiyo ni ikiwemo na wakuu wa wilaya
- Waspigane na wafuasi wa upande wa serikali, wao wakomae tu dhidi ya rais Uhuru
- Wakae manyumbani na kufanya shughuli zao
Kwa kifupi, hii show bado ipo ila naomba isiishie kwenye vurugu.
Raila Odinga reveals next steps
Raila hajui anataka nini
From Prime minister to Joseph Kony! This is how leaders with no clear agenda but me, myself and I, fall. Very hard!Raila Odinga is the next General Joseph Konyi, Jean Bosco Ntaganda and General Laurent Nkunda. Ataishia kusakwa na ICC. Mark my words.
Mbona Canaan tunatua kila siku?......tukishachapa tot zetu kadhaa za chang'aa pale kwa Mama Pima. Ha haa haaa!Hahahahaaaaaa,,,,,,,Raila ni Jonas Savimbi wa Kenya,,2017????
Uhuru Kenyatta ame mcheck mate.
Kesho twaenda kupiga kura bila yeye.
Alhamdulillahi.
Na,,,,Canaan,,nayo????
Mbio za sakafuni,,zimeishia ukingoni.
Hafadhali huku, ila huko kwenu wanadunguliwa kama ndege mtini, yule Padre Mjaluo alipojaribu tu, wamemuua kinyama kabisa, na huyo msaidizi wa CJ Maraga, ana bahati, hiyo nchi yenu haifai kwa maisha ya binadamu aliye huru, huwezi kumkosoa mtu na ukabaki salama, Jacob Juma alivyomaliza ku tweet tu, kesho yake ni kwaheriDuh! Wee jamaa huko kwenu hamruhusiwi kuongea hivi, wasiojulikana watakuibukia.
Kabisa aiseeangewaambia ma wanaNASA wanaofanya kazi kwenye kampuni zinazounga mkono serikali waache kazi.