Raila abadilisha chama chake na kukifanya kuwa vuguvugu la mapambano

Raila abadilisha chama chake na kukifanya kuwa vuguvugu la mapambano

Ametoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya
- Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye ushirikiano na serikali
- Wasitambue uongozi utakaopitishwa siku ya kesho tarehe 26, hiyo ni ikiwemo na wakuu wa wilaya
- Waspigane na wafuasi wa upande wa serikali, wao wakomae tu dhidi ya rais Uhuru
- Wakae manyumbani na kufanya shughuli zao

Kwa kifupi, hii show bado ipo ila naomba isiishie kwenye vurugu.

Raila Odinga reveals next steps
Yamesha kwisha na kesho wanajitokeza kwa wing kupiga kura
 
Back
Top Bottom